Tushazika na mama yetu Samia, ndo alituongoza huku Tosa. Utakuja kutuhani tu lakini mzee tumeshampumzisha.Ingekuwa tunaenda msibani, hata kuteua tungekua na utu wa kusubiria kidogo...haraka ya nini hata hatujazika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upele umepata mkunaji........ Ila maisha ya duniani ni mafupi sana, juzi tu waziri wa Katiba na sheria labda, alipanga safari ya kikazi sehemu fulani leo yupo kaburini, kabla hajaoza watu wameshachukua kiti.
Vyeo ni dhamana tu visiondoe utu wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana uhakika hiyo ndiyo kazi yako humu huwezi kuiacha, wenzio wanateuliwa kazi yako we kuwapongeza....Huyu jamaa nilishawahi kumpongeza kwa uteuzi, akanichunia. Well.
Hii ni mbinu ya Jiwe muache kumjadili yeye kutohudhuria kwenye misiba kuwafariji wafiwa badala yake watu wajikite ktk kujadili teuzi zake hata kabla ya wafiwa kufuta machozi.Ingekuwa tunaenda msibani, hata kuteua tungekua na utu wa kusubiria kidogo...haraka ya nini hata hatujazika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Speech ya kumtetea nahodha sio nesi v8 mlangoni, unahitaji dakika 10 tu za kusifu na kuabudu ili upalilie shamba
Bandika bandua...
Hii ndio faida ya kujipendekeza na kuitetea serikali hata kwenye mambo ya ajabu. Kwenye awamu hii Wanaosaka teuzi fuateni nyayo za Mwigulu.
Expecting others to see things the way you perceive ni ujuhaPoor perception
Umesahau Wizara ya fedha.Kuna nafasi mbili za uwaziri , wizara ya sheria na katiba , wizara ya Afya hizi wizara zinahitaji watu professional kwenye fani husika, lakini sio kwetu sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu mbona uteuzi Jaji MKUU ulichukua muda mrefu sana?? Kwanini huyu kakurupuka hivi?? Kunanini nyuma ya pazia??Duh, umebaki mwezi mmoja bungeni kuvunjwa, hakukuwa Na haja kuteua waziri