Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Yaani akifufuka leo anakuta mtu ashakava nafasi yake!!!!!!
Si bajeti ya wizara hii ishasomwa kulikuwa na haja gani ya kumpa nafasi MTU mwingine ilhali bunge linavunjwa soon?
 
Jamani tujitafakari tunaomtumikia kaisari, yaani kafa, hata kaburi halijakauka walisham-replace??..

Pole mno mno kwa familia....aisee! Utumishi uliotukuka ndiyo huo!

Everyday is Saturday......................😎
 
Ingekuwa tunaenda msibani, hata kuteua tungekua na utu wa kusubiria kidogo...haraka ya nini hata hatujazika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni mbinu ya Jiwe muache kumjadili yeye kutohudhuria kwenye misiba kuwafariji wafiwa badala yake watu wajikite ktk kujadili teuzi zake hata kabla ya wafiwa kufuta machozi.

Mambo ya ajabu sana lkn Mungu yuko na ndiye atakayekuwa Mfariji wa Kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
QUOTE="mtzmweusi, post: 35206988, member: 137485"]
Magufuli ameprove kuwa hana sifs za uongozi of all the people kweli mwigulu?

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Siku wewe ukiwa rais, tena rais makini, usimteue Dr. Mwigulu. Sawa?
 
hapa sijaelewa kidogo, kama ni kweli basi Rais wangu bado sijamuelewa kabisa. Aliyetolewa anarudishwa kivingine, labda kupoozana mwishoni mwishoni huku ila sisi kama wananchi tunapata shaka na mambo yalivyo.

Ubinadamu ingepita hata wiki ndipo teuzi ifanyike, kwani naibu wake hakuwepo? angesogezwa huyo ili amalizie shuguri akisaidiana na mawaziri wengine wote
 
Mbunge wa Iramba Mkoani Singida Dk. Mwigulu Nchemba amerejea katika Baraza la mawaziri la JPM akiwa waziri wa sheria na katiba, Mhe. Mwigulu anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jabali mwanadiplomasia nguli Balozi Dk.Augustine Mahiga

Mhe. Mwigulu Nchemba anaingia katika wizara hii akiwa tayari na uzoefu wa kuongoza wizara ya fedha alipohudumu Kama naibu waziri wakati wa Utawala wa Rais Jakaya Kikwete.Katika Serikali hii ya awamu ya Tano Mhe. Nchemba amehudumu Kama Waziri wa iliyokuwa Kilimo Mifugo na Uvuvi kisha Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi na Sasa Katiba na Sheria

Kwa mazingira ya Sasa ya nchi yetu kwa kuzingatia changamoto ya Gonjwa la korona je Dk Nchemba anaweza kuvaa viatu vya Dk Mahiga na hivyo kumsaidia Mhe. Rais wetu na Taifa

Binafsi namtakia Kila la heri Mhe. Nchemba katika utumishi wake katika nafasi hii mpya
 
Nimeamini hapa Jf, tuna makachero wa kutosha ni jana tu Majina ya Mh,Mwigulu Nchemba na Mh, Mwakyembe yametajwa tajwa hapa na leo ngoma imetiki? Viva Jf
 
Back
Top Bottom