Kwa kweli...
Kama namwona nnauye akizidi kupanda presure.
Ina maana akina makamba ndo kwisha habari yao
Hoja inafikirisha hiiMwigulu naibu waziri uchumi, Leo ndiye waziri wa Sheria... Ina maana Ni multi-purpose?
Kwa huu uteuzi naamini kifo Cha Mahiga huenda Ni Yale Yale ya 2015 na si korona Kama alivyo niambia askofu mstaafu leo. Enyi wanasiasa angalieni na mnao wapoteza mnatuumiza sana
Wakuu ina maana wanasheria wameisha bungeni?
Kumbuka serikali lazima iendelee kutenda shughuli zake hata akifa Rais! Atakuwepo mtu au chombo cha kushika yake mara moja.Ingekuwa tunaenda msibani, hata kuteua tungekua na utu wa kusubiria kidogo...haraka ya nini hata hatujazika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Too early...yaani huwez oa mke mpya wakat hata hujazika... It look like Kuna malipo furani kwa kazi iliyofanyikaKumbuka serikali lazima iendelee kutenda shughuli zake hata akifa Rais! Atakuwepo mtu au chombo cha kushika yake mara moja.
Maana kazi ziwe za kampuni au serikali lazima ziendelee. Uliza hata vifo vya watu kama Ruge, Mengi au Mufuruki! Makampuni yao yaliendelea na huduma! Sembuse serikali? R. I. P VHO MAHIGA
Makamba ni Mgombea kiti cha uraisi wa chadema mtarajiwa!Kwa kweli...
Kama namwona nnauye akizidi kupanda presure.
Ina maana akina makamba ndo kwisha habari yao
Jiwe ameona Lissu hayumo bungeni, hata Msukuma angempa uwazili wa sheria na katiba.Ina maana hakuna alieweza kukava hiyo nafasi zaidi ya Nchemba?
Yaani bora nchemba angepewa michezo na sanaa makyembe ndio apewe sheria na katiba
Nimeamini Magufuli decisions zake hashauriwi na mtu..na kwa ukali wake hakuna anae question mambo yake, this is sad.
Hata mm hili limenisikitisha sana,angalau jtano angeteua,yaani wanaomshauri Rais wetu wanampotosha sanaIngekuwa tunaenda msibani, hata kuteua tungekua na utu wa kusubiria kidogo...haraka ya nini hata hatujazika?
Sent using Jamii Forums mobile app