Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mwigulu naibu waziri uchumi, Leo ndiye waziri wa Sheria... Ina maana Ni multi-purpose?
Kwa huu uteuzi naamini kifo Cha Mahiga huenda Ni Yale Yale ya 2015 na si korona Kama alivyo niambia askofu mstaafu leo. Enyi wanasiasa angalieni na mnao wapoteza mnatuumiza sana
 
Hoja inafikirisha hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa tunaenda msibani, hata kuteua tungekua na utu wa kusubiria kidogo...haraka ya nini hata hatujazika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka serikali lazima iendelee kutenda shughuli zake hata akifa Rais! Atakuwepo mtu au chombo cha kushika yake mara moja.

Maana kazi ziwe za kampuni au serikali lazima ziendelee. Uliza hata vifo vya watu kama Ruge, Mengi au Mufuruki! Makampuni yao yaliendelea na huduma! Sembuse serikali? R. I. P VHO MAHIGA
 
Ngoja niingie Google nicheck ma prominent majuriss Nguli wa wakati wao nifananishe na huu uteuzi wa leo... Hope mmempigia simu ya kumpongeza ila mnampotosha mkuu.

Mwigulu Ni Mchumi kitaaluma... Anaweza hata kuiongoza BOT kitaaluma harafu yule Gavana Msomi akaongoza wizara ya Sheria kisomi
 
Kumbuka serikali lazima iendelee kutenda shughuli zake hata akifa Rais! Atakuwepo mtu au chombo cha kushika yake mara moja.
Maana kazi ziwe za kampuni au serikali lazima ziendelee. Uliza hata vifo vya watu kama Ruge, Mengi au Mufuruki! Makampuni yao yaliendelea na huduma! Sembuse serikali? R. I. P VHO MAHIGA
Too early...yaani huwez oa mke mpya wakat hata hujazika... It look like Kuna malipo furani kwa kazi iliyofanyika
 
Nchi hii maajabu hayaishi! Yaani tunaangalia taarifa ya habari tunamuona Makamu wa Rais yupo kwenye mazishi ya Waziri wa Katiba na Sheria!

Wakati huo huo taarifa nyingine inatuambia Rais kamteua tayari Waziri Mpya wa Katiba na Sheria! Ameona kusubiri walau hata kesho tu nchi ingesambaratika! Halafu walikuwa wanaelewana kishenzi na marehemu. Haraka ya nini!!!

Hata kwenda kwenye mazishi ya mtu wake wa karibu mzee kashindwa? Ila daraja limebomoka tu, ghafla huyu hapa. Huku uzinduzi wa hostel halafu kule maaskari tisa waliouawa na majambazi wanaagwa!!! Kazi kweli kweli.
 
Ina maana hakuna alieweza kukava hiyo nafasi zaidi ya Nchemba?
Yaani bora nchemba angepewa michezo na sanaa makyembe ndio apewe sheria na katiba
Jiwe ameona Lissu hayumo bungeni, hata Msukuma angempa uwazili wa sheria na katiba.
 
Nimeamini Magufuli decisions zake hashauriwi na mtu..na kwa ukali wake hakuna anae question mambo yake, this is sad.

Hii inaonyesha kuwa hachukui hatua kwa sababu ya udhaifu wa utendaji kazi, bali huongozwa na jazba na kusaka kiki.
 
Aisee! Naona kumjibu jibu Zito na kujikomba kwa Jiwe kumemrudisha barazani
 
Back
Top Bottom