SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
tatizo hata usipomchagua atapita tuuYani kama utamchagua huyu kiongozi arudi pale mjengoni wewe unatakiwa kuwa miongoni mwa maajabu!
Tanzania inahitaji RAIS kama aliyepo sasa asietabirika kesho atafanya nini
mwenye anafanya vitu kwa maslahi ya nchi na sio kufata sifa sifa za raia wanasema nn
haya sasa Mwigulu huyooo sijui wale vidomo domo watasema nn tena kiruuu.
Bora ajipitishe mwenyewe lakini siyo mtu unaenda kupanga foleni eti unampigia kura kabisa daaah!tatizo hata usipomchagua atapita tuu
Kapewa rungu asimamie kauli yake, tujifunze kumfurahisha tunayemtumikia.
Hata Mungu alituumba ili tumsifu na kumwabudu.