Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Kongole,
Sasa awe anahudhuria vikao vya ndoa za zamani na mpya za katiba.

Nitapenda kuona chereko za Harusi ya Katiba mpya.

There is more to come!
Aluta Continua!
 
Maumivu kwa Dr K.Mkumbo. Naona mzee kashtuka, wapinzani si wa kuwaamini. Juzi mama wa Kilimanjaro,Mh Anna Mghwira,RC, kajitangaza kuwa ameambukizwa ka-corona,baada ya hotuba ya Mbowe,KUB.
 
Unayajua maslahi ya nchi? Mbona mnakuwa wadanganyika hvo
Tanzania inahitaji RAIS kama aliyepo sasa asietabirika kesho atafanya nini

mwenye anafanya vitu kwa maslahi ya nchi na sio kufata sifa sifa za raia wanasema nn

haya sasa Mwigulu huyooo sijui wale vidomo domo watasema nn tena kiruuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha uteuzi kabla mtu hajazikwa si cha kitanzania kabisa huyo mteuzi ni kweli Mtanzania halisi
 
Ndio msimamo wake Mwigulu Nchemba mbunge wa Iramba alioutoa bungeni kabla hajapewa uwaziri wa sheria muda mfupi tuu baada ya kuzikwa Waziri aliyefariki.

Kwa maana hiyo, msimamo wake kama Waziri ni serikali isitangaze idadi ya vifo kama Sera za WHO zinavyotaka bali itangaze wanaopona tu.

Kama waziri wa sheria na jambo hili lina uhusiano na sheria hivyo ndivyo atakavyo mshauri mkuu wa nchi na sio ajabu namba iliyotangazwa ya 16 ikasimamia hapohapo.

Je, dunia itatukubali kwa hilo? Tutaelewana na WHO na washirika wengine duniani? Au haya maamuzi ya kukurupuka kuteua watu kwa vile wanatoa sifa zifurahishazo ndio yatali cost taifa? Yetu macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team JPM,
Nyinyi na yule Kafiri joka kuu hamtofautiani. Nakumbuka siku ile alipomtumbua huyu Madeline, watu mlisikia mkimponda madelu na kumsifia jiwe Leo kageuka tena mnaimba pambio jingine. Kweli nyie ni kizaza cha LAANA wafuasi wa RUSIFA
Sijamtaja mtu hapo
 
Hili jamaa lina sifa ya kusifia mtu, hadi msifiwa anaona aibu inabidi tu amteuwe, ila sio "fresh" mtu kama wewe sikutegemea iwapo utarudi tena uwaziri, hivi kuna nini? Kufukuzwa kurudishwa, ujitambui, uwezi kataa, uwezi ishi bila nafasi hizo?
 
Nyie pigeni domo tu. Kuna mtu akitoka mafichoni Gamboshi atawatukana huyo atafokaaaaa. Kuhusu ligi kuu itafutwa na timu zote zitabaki. Mwakani tunasajili upya tupooo in Makongoro voice. Tuna kula Nchi fungeni mabakuli yenu!
 
Back
Top Bottom