Ule mtindo wa kuondoa shilingi uliondoka na samwel sitta.Dah.
Umesema kitu cha msingi sana.
Ukimchekea dikteta lazima akumalize.
Hivi wapinzani wote wale wamekosa mbunge mmoja wa kujilipua bungeni kumoaka Magufuli udikteta wake?
Ule mtindo wa kuondoa shilingi siku hizi haupo?
Wapinzani wameshindwa ku support special motion ya kupinga udikteta huu?
Kumbe ya mama wa taifa ruksa?Nyumbani Na chumbani ruksa
Hivi si alitoka zamani sana jela? Ndio wamemkamata leo?kosa la Kukiuka masharti ya kibali cha mkutano na hasa kuwaalika wabunge wengine kuhudhuria Katika mkutano huo siku alipotoka tu jela.
Watakemea mbele ya Ndugai si watatolewa nje na kufungiwa mwaka mzima. Acha tu kuna siku inakuja, hakutasalia jiwe juu nchi, asema bwana wa majeshi.Ishu isn't decree ishu ni wabunge wenyewe ambao hata huko bungen huwa hawalaani wala kukemea haya matamko wao.wakiwa kama watu wanaopaswa kusimamia serikal
Dogo nina mshono mbichi hata nyuzi sijatoa tumboni. Utanifumua kwa kichekohivi kama mtu aliweza kuiba nyumba za serikali na jinsi zilivyo wazi na nzito atashindwa vipi kuiba kura na trilioni 1.5!!!!!
The worst thing ni kwamba Magufuli hakuhitaji kuwa hivi.Ule mtindo wa kuondoa shilingi uliondoka na samwel sitta.
Kwasasa hivi tuna bunge la woga, wabunge waoga, rais naye ni socially insecure. Hivyo tupo tuu na wananchi ndio kuzidi kwa woga.
Tumezidi kurudi nyuma kifikra, kihekima, na hata kihoja. Tumebaki kuwa wapiga stori za vijiwen
Ukisha kuwa mtu unayeona Kila mtu ni threat kwako, nakuambia hutakaa ufanye jambo bila kujidefend kwanza ww. This is what us killing him. Ninaamin anaongoza kwa tabu sana kuliko waliopita.The worst thing ninkwamba Magufuli hakuhitajibkuwa hivi.
Alianza na popularity kubwa, wapinzani hawakuwa na nguvu hivyo, na angekuwa na ngozi ngumu ya kutolainika kwa mishale butu anayopigwa, angeweza ku ficus kwenye ajenda yake ya uchumi bila kuwa distracted na habari za kubana uhuru, angeepukablawama nyingi sana na Watanzania wanavyopenda marais wao, hususan rais anayeweza kuinesha vitu, nimejenga barabara, nimejenga madaraja, ninefanya hiki na kile. Magufuli angekuwa even more popular.
Sasa hivi mwenyewe anajipiga risasi mguuni kwa kuogopa kivuli chake.
Angesema ana "degree ya violence" kama mwenzake Mugabe.Ukisha kuwa mtu unayeona Kila mtu ni threat kwako, nakuambia hutakaa ufanye jambo bila kujidefend kwanza ww. This is what us killing him. Ninaamin anaongoza kwa tabu sana kuliko waliopita.
Ipo siku nilikaa nikawaza hivi angekuwa yy ndio kapigania uhuru, sijui tungekuwa wapi Leo.
Unajitoa akili mwenyewe. Unajipendekeza kupita maelezo. Uteuzi unakaribia ukingoni. Umekosa vyote. Akili kuduhu. Uteuzi utausikia tu.Kama si kosa nenda kamuulize lijuakali ana hali gani uko selo..
We are on the right track heheHivi hii nchi inakwenda wapi?
Mkuu umeua...hahahaaahivi kama mtu aliweza kuiba nyumba za serikali na jinsi zilivyo wazi na nzito atashindwa vipi kuiba kura na trilioni 1.5!!!!!
MbinguniHivi hii nchi inakwenda wapi?
Sasa alitoaje mwaliko akiwa jela ili hao wabunge wengine wawepo siku aliyoachiliwa?View attachment 826847
Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro Kwa kosa la Kukiuka masharti ya kibali cha mkutano na hasa kuwaalika wabunge wengine kuhudhuria Katika mkutano huo siku alipotoka tu jela.
Hivi kumbe hata kualikana wabunge ni uvunjaji wa Sheria?