Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Mbowe anawatesa sana MAGAMBA..,kuhangaika kote huko mnataka amrithishe mtu mithili ya Mrema,Cheyo....ili Mumnunue?, Fanyeni siasa acheni UJIWE wa kimungu chenu cha chato.
 
Ulijisikiaje Lowasa alivyohamia Chadema na kumilikishwa chama na Mbowe huku majembe waliopigania chama akina.DR.Slaa wakitupwa nje ya chama kama takataka?.... Ulivyojisikia wewe, ndio hivyo hivyo wana CCM wanavyojisikia sasa hivi
Mimi sina chama mkuu, hili swala nimetolea maelezo hapo juu. Naomba upitie halafu tuendelee na majadiliano. Asante
 
Mbio za sakafuni. Huishia ukingoni.
wanaoondoka hawatutishi wala kutubabaisha.
MWACHE AENDE.
 
Hawa wajinga wa rohoni na kimwili wanatabu saana
 
Hao ndo wanasiasa wetu
 
Mtamkumbuka Dkt. Slaa!
Kwa lipi?. Tangu aondoke chama ndo kimeitisha dola mpaka jiwe anafanya unayoyaona na kuyasikia, Ujue CDM inaogopwa kuliko kipindi chochote. Mnasema CDM imekufa huku hamlali kwa mahangaiko ya kuidhoofisha kwa mbinu DHALIMU.
 
CCM kuweni na huruma kidogo jamani!. Wakataeni wabunge na madiwani wanaohama kutoka CHADEMA sasa hivi si kwa sababu hawafai bali kusaidia CHADEMA kuwa pumzi. Iwapo mkiwachukua wote na wengine kuwapa UDC si CHADEMA itakuwa haina uwezo wa kujiendesha tena, na siasa za upinzani zitatoweka kabisa nchini?
 
Write your reply...chadema ilifanyakosa kubwa sna kwa dr slaa.angalia wale punda wote waliokuja na luwasa wanakimbia
 
Vumilia tu mkuu. Kamchezo aka hakataki hasira
 
Naona njia ya lowassa inasafishwa huyoo anarudi ........
 
Hahahahahaha jiwe na polepole mnaweza chezea pesa ya wanamchi kulazimishwa kipendwa wakati huohuo mnazuia uchaguzi usiwe huru
Kamanda huwa mnalilia demokrasia lakini hamna uwezo wa kuhimiri vishindo vya demokrasia....usicheze na demokrasia unaweza tokwa kamasi na mishuzi kila leo...hii ndio demokrasia kamanda kuwa mpole....kwanini muwe na watu wanao nunulika kama ni kweli?

KAMANDA HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA
 
Walipohamia chadema, wslikuwa na akili na hawakuwa na njaa ya madaraka ila sasa ni kinyume.
Bavicha oyeeeee.
 
Kazi nzuri Polepole. Roho yangu itasuuzika zaidi Joshua Nassari akiondoka chadema. Kwa utendaji kazi wake, haendani kabisa na chadema. Ni type ya JPM tena yule atafaa unaibu waziri fulani kuanza kumtengeneza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…