Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Huyu mwanachama Wa ccm?Mtamkumbuka Dkt. Slaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwanachama Wa ccm?Mtamkumbuka Dkt. Slaa!
Mbowe anawatesa sana MAGAMBA..,kuhangaika kote huko mnataka amrithishe mtu mithili ya Mrema,Cheyo....ili Mumnunue?, Fanyeni siasa acheni UJIWE wa kimungu chenu cha chato.2020 chadema kitarudia status quo yao ya kuwa na wabunge wanne tu. Wameitumia vibaya fursa waliyokuwa wameipata. Yaani ruzuku kazi yake ni kulipia tu deni hewa la m/kiti wao. Yaani wabunge wao lazima 50% ya mishahara yao ipelekwe kwenye chama kulipia hilo deni hewa la m/kiti lisiloisha!! It is now over! Wamasai na wakurya wamekataa. Wambeya (wahehe) wamekataa. Kila mtu amekataa.
Mimi sina chama mkuu, hili swala nimetolea maelezo hapo juu. Naomba upitie halafu tuendelee na majadiliano. AsanteUlijisikiaje Lowasa alivyohamia Chadema na kumilikishwa chama na Mbowe huku majembe waliopigania chama akina.DR.Slaa wakitupwa nje ya chama kama takataka?.... Ulivyojisikia wewe, ndio hivyo hivyo wana CCM wanavyojisikia sasa hivi
Hao ndo wanasiasa wetuSiasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
Kwa lipi?. Tangu aondoke chama ndo kimeitisha dola mpaka jiwe anafanya unayoyaona na kuyasikia, Ujue CDM inaogopwa kuliko kipindi chochote. Mnasema CDM imekufa huku hamlali kwa mahangaiko ya kuidhoofisha kwa mbinu DHALIMU.Mtamkumbuka Dkt. Slaa!
Saccos ingemsumbua jiwe mpaka atumie njia za kibedui?Basi kamuulize Lowassa au Sumayi kama humwaamini Waitara au wale wabunge wengine waliohama hicho chama cha saccos.
Vumilia tu mkuu. Kamchezo aka hakataki hasiraSiasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
Kamanda huwa mnalilia demokrasia lakini hamna uwezo wa kuhimiri vishindo vya demokrasia....usicheze na demokrasia unaweza tokwa kamasi na mishuzi kila leo...hii ndio demokrasia kamanda kuwa mpole....kwanini muwe na watu wanao nunulika kama ni kweli?Hahahahahaha jiwe na polepole mnaweza chezea pesa ya wanamchi kulazimishwa kipendwa wakati huohuo mnazuia uchaguzi usiwe huru
Kwenye ukweli ni vyema ukasemwa. There is a problem somewhere inside Chadema.Siamini kama wote hawa wananunuliwa chadema wajichunguze mahali
Kazi nzuri Polepole. Roho yangu itasuuzika zaidi Joshua Nassari akiondoka chadema. Kwa utendaji kazi wake, haendani kabisa na chadema. Ni type ya JPM tena yule atafaa unaibu waziri fulani kuanza kumtengeneza.Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Mkoa wa Arusha zinasema Mbunge wa Jimbo la Monduli Juliasi Kalanga kuhamia CCM kesho majira ya saa nne asubuhi.
======
UPDATES; 00:15HRS
View attachment 823188
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Mhe. Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM muda huu kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi rais Magufuli. Amepokelewa na katibu mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole.
Siasa za uhasama, malumbano na chuki zimeniondoa CHADEMA. Nimeamua kuiunga mkono serikali ya awamu ya tano kwa maslahi ya taifa... Kwa sababu huwezi kufanya hivyo ukiwa upande wa pili, lazima utaonekana msaliti tu... Wana Monduli naombeni mnielewe, nitakuja kuzungunza nanyi," Julius Kalanga Laizer, aliyekuwa Mbunge wa Monduli kwa tiketi ya CHADEMA.
Julius Kalanga aliwahi kuwa diwani kupitia CCM, kabla ya kuhamia Chadema 2015