Nna uhakika JF ina wanaintelejinsia wa kutosha,watusaidie kutambua namna CCM wanavyochza mchezo huu kwa sasa maaana its too much.
Kitu naamini Jambo hili halitokei kwa bahati mbaya.
Tunapoelekea mfumo wa vyama vingi unakwenda kufa tanzania,kizazi cha kuto``reseason'' chochote kinakwenda kuzaliwa tena.
Kama ni ww Humprey Polepole basi jaribu kua na huruma ,kumbuka ulipotoka. (Nazungumza kwa machungu sana)
Kwa anayejua nani anafadhili mchezo huu either Financially au kwa njia yeyote basi atueleze,nani mpangaji wa formular.
.
My take.
Kurevael hii kitu itatusaidia kunusuru Demokrasia na mfumo wa vyama vingi nchini,hii si kwa faida yetu bali kwa faida ya vizazi vyetu vya badae.