Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Kama ipo ipo tuu
Wana nchi wa Tz niwaelewa Sana taifa hili bado masikini Sana, ajira hakuna wasomi wapo kitaa, hamu watetei, unahama kwenda kuunga juhudi za kununua Dreamliner amakweli, nani alie wa Loga Wana siasa watu,?
 
Ila itapendeza sheria za uchaguzi madiwani na ubunge zibadilishwe upande wa kuachia kiti. Kuwe na penaty kwa atayeachia kiti.
 
Haya manunuzi yenye kukinufaisha chama tawala ni kwa gharama ya kodi za wananchi. Kwa bahati mbaya wapiga kura wengi hawajui, na kukosa ufahamu ni mtaji mkubwa wa chama tawala. Ni rahisi sana kutawala watu wajinga, lakini si rahisi hata kidogo kuwatawala milele.
 
Demo- cracy
Kweli wakati mwingine nakubaliana na wanaosema,''kuna haja ya afrika kutawaliwa tena',maana mambo yaliyopo afrika,ni vituko tu' mtu alihama ccm kuepuka kuwa msaliti,leo anahama chadema kuepuka usaliti,halafu anarudi ccm!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ukiangalia wabunge wote waliohama Chadema na kwenda CCM walikuwa wamelelewa na kukulia CCM, angalia Dr Mollel, Mwita wa Ukonga, hata huyu Mheshimiwa historia inaonesha alikuwa diwani wa CCM na kuhamia Chadema mwaka 2015, so ni kama wanarudi nyumbani walikolelewa na kukulia.Muhimu kumtakia mafanikio mema huko anakokwenda.
Hiyo ndiyo siasa.
 
Nna uhakika JF ina wanaintelejinsia wa kutosha,watusaidie kutambua namna CCM wanavyochza mchezo huu kwa sasa maaana its too much.
Kitu naamini Jambo hili halitokei kwa bahati mbaya.
Tunapoelekea mfumo wa vyama vingi unakwenda kufa tanzania,kizazi cha kuto``reseason'' chochote kinakwenda kuzaliwa tena.
Kama ni ww Humprey Polepole basi jaribu kua na huruma ,kumbuka ulipotoka. (Nazungumza kwa machungu sana)
Kwa anayejua nani anafadhili mchezo huu either Financially au kwa njia yeyote basi atueleze,nani mpangaji wa formular.
.

My take.
Kurevael hii kitu itatusaidia kunusuru Demokrasia na mfumo wa vyama vingi nchini,hii si kwa faida yetu bali kwa faida ya vizazi vyetu vya badae.
 
Last edited by a moderator:
Siasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
Ni kama vipofu hawajui watendalo
 
wanarud walipotoka tafuten wanachama siyo mashabiki tuuu.. CCM ina wanachama
 
Utamjuaje huyo. Mastermind wakati intelejensia ndan ya chadema ipo ICU, katambi kaondoka chadema hawajui wanashtuka anatangzwa na polepole

Waitara, na wengine hivo hivo

Kifupi CCM ina mamluki ndan ya chadema. ,

Chadema kitapukutika kama majani makavu kwenye mchongoma
 
Uliyemwita nyumbu jana leo mkuu wako, sijui utajisikiaje
 
Nawaonea huruma sana Chadema, aoon Ester Bulaya naye atarejea sijui hawa nao mtasema imekuaje hadi wameondoka.

Hadi kufikia 2020 mtakua hamna mbunge hata mmoja maana hata Mbowe mwenyewe atajiuzulu na kujiunga na chama kubwa.
 
Back
Top Bottom