Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama vipofu hawajui watendaloSiasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile
Wewe ni mtu gani una lilia demokrasia halafu una shangaa gharama kwenye demokrasia?Aisee..so uchaguzi utarudiwa tena kwa hela za walipa kodi??