zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
..sikiliza Mh.Kalanga alivyokuwa akimtukana Dr.Mollel kwa kuhama chama.
Duh I'm speechless kwakweli yaani alichompinga mwenzie ndio anakirudia yye!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..sikiliza Mh.Kalanga alivyokuwa akimtukana Dr.Mollel kwa kuhama chama.
Dunia kama kawaida yake itaangalia tu kama ilivyokuwa kwa Rwanda mwaka 94Kuna haja ya wanazuoni wa kimataifa si hawa wa bongo kuja kuitafiti aina mpya ya siasa tunayoiendesha hapa tz ni kwa faida ya vizazi vijavyo..lakini tanzania ni ya pili kwa vivutio vya utalii duniani si mbaya kuongeza utalii wa siasa pia
Kwa nini iwe usiku na haraka hivyo?
Mie nilisubilia kesho kumbe zege halilali
CHADEMA mjifunze kupokea mizigo isiyo bebeka
Ccm imefanya nn la maana, zaidi ya maisha kuwa magumu mitaani. Wakulima taabu, wafanyabiashara taabu ,wafanyakazi taabu, kundi pekee linaloweza kujidai ni wanasiasa tu na wanasiasa wenyewe wabunge na si madiwani kwa sababu madiwani wa halmashauri nyingi hawalipwi mishahara wala posho hii ni kwa sababu ya kushuka kwa mapato kwa halmashauri nyingi kunakotokana na kuporomoka kwa mitaji na tija katika biashara na kilimo .wanasiasa madiwani wanakiri haijawahi kutokea katika utawala wa kikwete kutolipwa. Posho wala mishahara kwa sababu halmashauri zilikuwa zinakusanya to the maximum , .Naongea kama mchumi mtafiti ninayejishughurisha na masuala ya maisha ya watu. Hizi siasa za kununuana zinawapa faida chadema kwa chaguzi za 2020, kwani makundi mengi yameshakata tamaa na huwezi pima kukubalika kwa ccm kwa chaguzi hizi ndogondogo ambazo ccm inatisha wasimamizi.mwaka 2020 ni uchaguzi nationalwide kitu hawataweza kutisha wasimamizi wote, kitu ambacho msimamizi gani ahatarishe maisha yake na familia yake kwa kuitetea ccm huku akijua fika kubadilisha matokeo kutampelekea ulemavu.tumesikia kwamba mwenyekiti ameziagiza kamati za siasa za wilaya zote kuanza kufanya vetting ya watumishi ambao ni wanaccm ili watumishi hao ndio wawe wasimamizi wa uchaguzi wa 2020, endeleeni kufanya hivyo ila mjue kwa nini wanasayansi huwa wanatumia wanyama na si binadamu katika tafiti zao,kwa sababu binadamu ni kigeugeu hasa akishajua unamchunguza, na taarifa zimeshaenea kwamba mnawachunguza, endeleeni na uchunguzi wenu majibu mtayapata 2020 zile 52.9% zitapungua hadi 49.0 % kwa sababu hao mnao wategemea kuwasaidia hawatawasaidia ,watawauzaMtu mwenyeuwezo mzuri wa kufikiri,hawezi kuinga mkono chadema hii
Naomba kuwauliza wanaCCM,
Hivi Unajisikiaje unapoona mpinzani anahamia CCM halafu "anakaribishwa" na kiti cha uongozi?
Wewe MWANACCM uliye "kipigania" chama ukitegemea "mkono wa pongezi " unajisikiaje rohoni unapoona hili?
Wewe MWANACCM unayeshinda mitandaoni ukipiga propaganda za "kutetea chama" unajionaje kuona hali hii?
Ila anaweza iunga mkono CCM ambayo kwa miaka 50 imeshindwa kututoa kwenye umaskini ilihali tuna rasilimali zote.....
Embu nipe sababu moja kwanni mtu ajiunge CCM?? hvi hta sera ya ujamaa kuna hata mmoja anaitekeleza ndani ya CCM nitajie hata mjamaa mmoja tu humo CCM.
Nilileta huu uzi juzi mods akaufuta
Kwahyo hii taarifa ni uzushi?Sidhani kama kuna usahihi maana yule mlezi wake ni Lowassa. Hawezi kuhama hivi hivi maana Lowassa ataonekana ameshindwa kisiasa.
Hawa wanaohama walikuwa ccm wakahamia chadema na wakapewa nafasi ya kugombea ubunge na wengine udiwani. Labda na wewe utuambie mlijiskiaje?Unajisikiaje kuona mpinzani anahamia ccm na kupewa uongozi huku wewe kada mtiifu ukiachwa? Huoni kama kuna tatizo mahali?
Kwa hiyo rubani akiwa angani habadilishi gia ? Mbona mnakuwa hopeless kiasi hiki ?Ndio madhara ya rubani kubadilisha gia angani. Tangu lini uliona gia inabadilishwa angani? Wacha lidege liporomoke tu.
Ndugu yangu, wanasiasa sana nyuso mbili mbili.Siasa bana..
Mbunge / anahama chama kwa madai kwamba wabunge wa upinzani wanalazimishwa kupinga bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti alafu unahamia chama ambacho wabunge wanalazimishwa kupitisha bajeti na wakifanya vingine wanaonekana wasaliti vilevile