Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Elections 2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

Cha ajabu aliejiuzulu ataomba tena kuchangiwa.... Kujiuzulu maana yake ni kushindwa kutimiza majukumu yako inavyotakiwa iwe kwa kashfa au sababu yoyote ile ya kushindwa kazi.
 
Sababu wanazotoa wengine mpaka wanatia aibu leo Mbunge wa Jimbo la Singida mashariki Tundu Lissu yupo hospital kwa muda wa mwaka baada ya jaribio la kutaka kumuua kufeli leo Mbunge anaenda kujiunga na hao maharamia
AKILI YAKO NDO INAKUTUMA UFIKIRI HIVYO.
 
Sasa wana shambulia ngome ya lowasa huku wana endelea na mashambulizi kwenye ngome ya mbowe pale Hai
Wanavuna kwa bidii maembe ili kuudhofisha mti wa muembe, what a silly strategy!!
 
Mtu ukikwepa kulipa kodi itakuwa ni dhambi kweli????? Kodi inachezewa kwa mauchaguzi yasiyo na maana kabisa ....mabilioni ya kununua wanasiasa na kurudia chaguzi ndio TRA wanatukamua huku mitaani???? Kuna kitu si sawa kwetu sisi ngozi nyeusi!
 
2020 chadema kitarudia status quo yao ya kuwa na wabunge wanne tu. Wameitumia vibaya fursa waliyokuwa wameipata. Yaani ruzuku kazi yake ni kulipia tu deni hewa la m/kiti wao. Yaani wabunge wao lazima 50% ya mishahara yao ipelekwe kwenye chama kulipia hilo deni hewa la m/kiti lisiloisha!! It is now over! Wamasai na wakurya wamekataa. Wambeya (wahehe) wamekataa. Kila mtu amekataa.
Ushauri wa bure, ukitaka kuuangamiza mwembe usichume maembe, kata mizizi kabisa. Kukata mizizi ya upinzani Tanzania ni kufanya yafuatayo na mengine mengi;
1. Jenga shule nzuri zenye facility zote bora na za kisasa za kufundishia, sio chini ya miti
2. Jenga hospitali nzuri na zenye vifaa bora kabisa pamoja na vituo vya afya ili akina mama na wagonjwa wengine waache kulala chini.
3. Jenga barabara bora kabisa ili kurahisisha biashara na mazao ya kilimo kusafirishwa kutoka eneo moja kwenda lingine.
5. Lipa stahiki za wafanyakazi kama kanuni zinavyosema, kupanda madaraja na mishahara
6. Ongoza nchi kwa kufuata katiba na sheria za nchi, ikiwamo manunuzi ya umma, kuweka mazingira bora ya kidemokrasia katika nchi kama ambavyo katiba ya nchi inavyoainisha.
7. Na mengineyo

Yakifanyika hayo, upinzani utakuwa unakatwa kwenye level ya mizizi; hata hivyo historia inakataa kwamba upinzani unakufa duniani, kwa mfano marekani ina mambo yote niliyoyataja lakini vyama vya upinzani na mawazo ya upinzani hayajaweza kuzikwa.
 
Lengwanani mkuu anawatanguliza kwanza watoto wake aliohama nao kurudi nyumbani yeye atarudi mwishoni kabisa
 
Niliwaona umbali wa maili. 1.5 kwasababu ni warefu. Kadiri wanavyo karibia hata siwaoni. Mwenye darubini tafaadhali tazama kamo ndani ya 0.6 miles ama lah!
 
Hapa duniani hakuna binadamu ambaye si mchumia tumbo. Hata mimi na wewe sote ni wachumia tumbo. Ila binadamu wengine wamezidi mno!. Yaani ruzuku yote ya chama kila mwezi inaenda kwenye tumbo moja kulipia madeni hewa yasiyoisha. It is just too much 'uchumia tumbo'!
Kwenye ripoti ya CAG hiyo taarifa ipo kwenye ukurasa gani.
 
Kwa yanayo endelea nchini nadhani ni mda sasa wa kujitafakari kama kuna umuhimu tena wa kuendelea kulipa kodi.Nadhani ni mda sasa wa kila mtu kutafakari jinsi gani anaweza kukwepa kulipa kodi.
 
Siasa hii ya viongozi wengi wa chama cha upinzani kujiudhuru nyadhifa zao na kuhamia chama tawala zinafanyika katika nchi ya Tanzania pekee.
Siasa za namna hii kwanza zinaondoa imani ya wananchi kwa vyama vya upinzani.
Pia zinachangia sana wapigakura wengi kususia kupiga kura wakati wa uchaguzi.
Tena zinapunguza kura nyingi kwa wagombea wa upinzani.
Mwisho zinadhihirisha udhaifu wa vyama vya upinzani.
Kwa mwendo huu wa kujiudhuru udhuru na kuhamia hamia lengo la vyama vya upinzani la kuchukua dola halitafanikiwa katika muda unaotarajiwa.
Baadhi ya viongozi wa upinzani wanakosa heshima kwa jamii kwa tabia hii wanayoinesha.
Hapa si pa kuisingizia CCM bali pa kujutia.
Kama unanunulika wewe ni dhaifu, kama hujiamini wewe ni dhaifu, kama unakimbia matatizo ya chama badala ya kuyatatua ndani ya chama wewe ni dhaifu, kama una siasa za kuchumia tumbo wewe ni dhaifu tu. nk
Kwa ujumla upinzani wa Tanzania bado ni dhaifu sana.
Tunaupima udhaifu huo wa kusumbua wapiga kura wa upinzani toka enzi za TLP, NCCR, CUF na sasa CHADEMA.
Wananchi wanakosa chama cha kukiamini matokeo yake wengi hawapigi kura.
Siku Tanzania kikatokea chama cha upinzani imara na chenye viongozi makini, hakika kitachukua dola kiulaini kabisa.
Kimsingi hapa uelewa wa umma wa watanzania upo kwenye majaribio makali. Macho yangu yote kwao wakati nikisubiri kifuatacho.
 
Ifike mahali hawa wabunge wawaheshimu wananchi waliowapa dhamana! Huku ni kutudharauna kuona hatuna la kuwafanya na hawaoni uchungu wa kodi zetu kurudia uchaguzi. Ushauri wangu, ni vema wananchi tuliowapa dhamana hawa wasaliti tukaamua kuwashughulikia na hata kuwafanya vilema! Tukiwafanya wawili au watatu na wakajua ni kwa nini wamefanyiwa huu upumbavu utakwisha, otherwise watatuchezea sana. Wapumbavu wakubwa.
Naomba usifanye haraka kuwalaumu wabunge, hawakuwa wanafanya hivyo kwenye tawala zilizopita, kuna jambo linafanyika nyuma ya pazia, either wanahongwa au wanatishiwa kwa namna moja ama nyingine.

Ni vyema kwa sasa kuwaacha tu waende, ila kamwe huwezi kuumaliza upinzani kwa kuchukua viongozi wa upinzani, unamaliza upinzani kwa kutatua shida za wananchi wa kawaida kitu ambacho CCM wameshindwa na hawatakuja kuweza. Tutabakia the least developed country in the world mpaka tushike adabu yetu.
 
Naomba usifanye haraka kuwalaumu wabunge, hawakuwa wanafanya hivyo kwenye tawala zilizopita, kuna jambo linafanyika nyuma ya pazia, either wanahongwa au wanatishiwa kwa namna moja ama nyingine.

Ni vyema kwa sasa kuwaacha tu waende, ila kamwe huwezi kuumaliza upinzani kwa kuchukua viongozi wa upinzani, unamaliza upinzani kwa kutatua shida za wananchi wa kawaida kitu ambacho CCM wameshindwa na hawatakuja kuweza. Tutabakia the least developed country in the world mpaka tushike adabu yetu.

Ni bora wakaweka wazi kilichopo nyuma ya pazia bro!! It's real embarrassing aisee. Kila kukicha wanahama, eti wanaunga mkono raisi. Kule bungeni ndo ccm walitishiwa kupigiwa shangazi zao, leo mt bila aibu nanhuruma kwa wapiga kura anaondoka na bado atarudi tena kuwaomba eti kura! Wananchi wachukue hatua wenyewe, otherwise kusikia nabari za siasa imekua kchefuchefu
 
Kwa lipi?. Tangu aondoke chama ndo kimeitisha dola mpaka jiwe anafanya unayoyaona na kuyasikia, Ujue CDM inaogopwa kuliko kipindi chochote. Mnasema CDM imekufa huku hamlali kwa mahangaiko ya kuidhoofisha kwa mbinu DHALIMU.
Baada ya kuwachukua wabunge wote hao naomba CCM wafanye tathmini ya kiwango chao cha kupendwa na wananchi kwa kuruhusu mikutano ya kisiasa kwa siku moja hapa Dar, CCM wafanyie Jangwani na CHADEMA wafanyie kwenye viwanja vya mpira vya pale Chang'ombe, tuone huo mziki wake.
 
Kwani huyo kahama kwasababu ccm wanafanya mikutano ya kisiasa?
Wanafanya kila siku kupitia mwenyekiti wao na viongozi wengine, lakini pamoja na hayo hata tukifanya sample ya haraka humu JF, wapinzani ni wengi sana kuliko wafia chama.
 
Hakuna wanachama wakugombea huko lazima msubiri watakaotemwa CCM ndiyo muwachukue kugombea Chadema. Chadema ni SACCOS ya Mbowe na Mtei
Talking loads of rubbish.
 
Back
Top Bottom