Mbunge wa Jimbo lilipo daraja la Wami, msaidie huyu mama

Hilo gari halina bima?
 
Hiyo gari lazima lazima engine ifunguliwe akilitoa humu,hapo nossel na spea zingine afunge mpya itakula 10m kwenye spea
 
Siku zote rahisi ni aghari na aghari ni rahisi na huenda hata dereva hakuwa na uzoefu huenda alikuwa dereva wa daladala.
Design alikua Ana mizuka ..vibes..au la alilkua bwax!mie siku zote namtafakari huyu mama why alompa yule dogo!
Au alikua mgeni na njia
 
Ndio maana watu tunashauriwa kukata bima stahili badala ya ile 3rd part ambayo kazi take kuu ni kumuonyesha traffic una bima.
Comprehensive insurance ingefidia gari na mzigo wake na hangekuwa na pressure ya kulala halo Wami darajani.
Bei ya hiyo comprehensive inazidi faida atakayoipata kwenye biashara Yake mwaka mzima labda.
 
Marekebisho

Gharama alizotumia kununua na kuliweka barabarani ni mil 83 na sio 18.

Hilo ni gari lake la kwanza.

Hiyo ilikua ni safari ya kwanza kwa gari lake
 
Wametoa maiti lori wameacha !
 
Mzee mwanzo wa biashara ni siri ya walio fanikiwa.

Kuna ndugu yangu alianza biashara ya daladala, kwa kununua daladala chakavu, mbona alijuta, lakini alipo simama na kupanbana na changamoto leo ana daladala 36
 
Yaani anatia huruma masikini, halafu ndio safari ya kwanza na yanatokea ya kutokea. Unaweza kufuru walah!!

Mbunge sijui hata alikwenda kufanya nini sasa!! Hebu ajiguse huko maana pesa zao za burebure tu.
 
Mzee mwanzo wa biashara ni siri ya walio fanikiwa.

Kuna ndugu yangu alianza biashara ya daladala, kwa kununua daladala chakavu, mbona alijuta, lakini alipo simama na kupanbana na changamoto leo ana daladala 36


Nakubaliana na ww!
 
Kweli mkuu..
Ndio maana watu tunashauriwa kukata bima stahili badala ya ile 3rd part ambayo kazi take kuu ni kumuonyesha traffic una bima.
Comprehensive insurance ingefidia gari na mzigo wake na hangekuwa na pressure ya kulala halo Wami darajani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…