Mkuu hakuna lori namba A au B lenye thamani hiyo,hayo malori unapata used toka uk kwa 70m mpka 65m tena model ya juu...mama kaongeza sifuri za kutosha
Naomba hiyo link ambayo unapata Lori used mileage nzuri,lenye hari nzuri Uk kama ford au Scania kwa milioni sabini.Mkuu hakuna lori namba A au B lenye thamani hiyo,hayo malori unapata used toka uk kwa 70m mpka 65m tena model ya juu...mama kaongeza sifuri za kutosha
Upo sahihi. Siyo kila gari inakatiwa Comp.Mara nyingi comprehensive wanaangalia hali ya gari, sio kila gari unaweza kukata bima hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
LORY MILIONI 18???
Mimi kila nikikutana na Clip zake nashindwa kumaliza kuziangalia.. Bora ile ya jana wakati anakabidhiwa hela..Yaani anatia huruma masikini, halafu ndio safari ya kwanza na yanatokea ya kutokea. Unaweza kufuru walah!!
Mbunge sijui hata alikwenda kufanya nini sasa!! Hebu ajiguse huko maana pesa zao za burebure tu.
My D usiangalie namba saaana, sababu unaweza kuona namba kumbe imeingia kitambo na mtumiaji wa sasa kanunua kwenye shirika au serikali lkn gari ni chakavu.Upo sahihi. Siyo kila gari inakatiwa Comp.
Ile gari niliona No. Zake ni A...
Na kukatia Comp. Gari mwisho miaka kumi baada ya kuingia Nchini hii Ni kwa mujibu wa Sheria za TIRA.. Ukipewa Comp. Na Kampuni yoyote ya Bima baada ya huo muda hiyo wameamua kuvunja tu sheria..
Sasa ukijiuliza ile gari inazaidi ya miaka 10.. hiyo Namba A ni ya kitambo sana.. Namba C sidhani kama anapewa Comprehensive..
Ins. kubwa ni gharama na huangalia na gari. Yaani ukiona mtu kasimamisha biashara yake hadi ikawa biashara muheshimu. Kuna changamoto acha tu.Mimi kila nikikutana na Clip zake nashindwa kumaliza kuziangalia.. Bora ile ya jana wakati anakabidhiwa hela..
Shida Mama alikuwa na 3rd party Ins.Cover.. Hiyo hana anachopata.. Labda wale maheruhi na Mke wa Marehemu Dreva ndiyo watalipwa..
Pia kuanzisha biashara usiyoijua kwa undani hilo nalo tatizo.Ins. kubwa ni gharama na huangalia na gari. Yaani ukiona mtu kasimamisha biashara yake hadi ikawa biashara muheshimu. Kuna changamoto acha tu.
Mbunge ni Rizwani kikwete , alikuepo eneo la tukio amepiga selfie akaondoka
Rizwani ni mbahili sijawahi kuona Duniani, hawezi Kucha ngoja hata senti tano
Nakubaliana na wewe.. Ila unafahamu kama kampuni nyingi za Insurance wana System inaingiliana na TRA? Wanauwezo wa kuchek gari imeingia Nchini mara ya kwanza lini kwa kutumia Engine no na Chasisi no?My D usiangalie namba saaana, sababu unaweza kuona namba kumbe imeingia kitambo na mtumiaji wa sasa kanunua kwenye shirika au serikali lkn gari ni chakavu.
Japo mengi ya A na B yamepita muda wa comp
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimuona, ni kijana mdogoAm sorry...umemuona kwa Millard Ayo huyo dere??...kiduku Cha ajabu! Oh no!
Kabisa Dear. Comp. ni gharama mno..Ins. kubwa ni gharama na huangalia na gari. Yaani ukiona mtu kasimamisha biashara yake hadi ikawa biashara muheshimu. Kuna changamoto acha tu.
Mke mwenye ufahamu mkubwa..mmmh kijasho[emoji1787]Nakubaliana na wewe.. Ila unafahamu kama kampuni nyingi za Insurance wana System inaingiliana na TRA? Wanauwezo wa kuchek gari imeingia Nchini mara ya kwanza lini kwa kutumia Engine no na Chasisi no?
Gari hata ununue Serikali then uweke no. Mpya.. Wataalamu watakuambia Mwaka na Muda gari ilipoingia...
Second hand!! au hutaki?LORY MILIONI 18???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo haya agggrrrr!! Unejikusanya weeeeh ukaona sasa angalau nifanye jambo, halafu paap balaa hilo[emoji134][emoji134]Kabisa Dear. Comp. ni gharama mno..
Na hapo Mama angekata Mbili.. Ile sehemu ya mbele( kichwa) na ile sehemu ya nyuma( wanaita Terra sijui).Na Mama ndiyo kaanza Biashara.. Hapo angeambiwa ni zaidi ya 5-6M..
Acha tu.. Yule Mama amekutana na Changamoto kubwa sana.. Anahitaji ushauri anaweza asirudi sawa..Haya mambo haya agggrrrr!! Unejikusanya weeeeh ukaona sasa angalau nifanye jambo, halafu paap balaa hilo[emoji134][emoji134]