Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Mkuu tupo pamoja!Lema atakuwa amefuahi sana haya maoni ya kishimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tupo pamoja!Lema atakuwa amefuahi sana haya maoni ya kishimba
Yawezekana hujaielewa na kupitia maandishi yako mafupi nimepata maana pana kuhusu wewe na unachokiamini hii ndio tofauti ya mtu aliyesoma philosophy na ambaye hakusomaHiyo point yako ya namba mbili ni kiboko sana, nimeikubali
Asante sana mamaHalafu mnasema wapinzani ndiyo wanamwangusha His Excellency Mr. Magufuli.
Hivi mtu mzima mwakilishi wa raia wengi, yuko kwenye chombo cha kutungia sheria anaongea huo u stupidly, tena wana kaa kimya wanamchekea..
Wewe kumkubali ni haki yako mkuu hakuna atakaye kulaumuBinafsi nakubali mambo mengi anayochangia, namuunga mkono suala la bangi, namuunga mkono ktk hili pia. Ukitaka mwalimu wa chekechea au madarasa ya awali awe mzuri kiufundishaj ni lazma ugeuze akili yake awe km mtt ili aendane na wtt, huez kubaki na akili yako ya Masters ukafundishe huko. Ili kumkamata mwizi ni lazma ukajifunze mbinu wanazotumia, tena ww ujifunze wizi haswaa na uwe mwizi zaidi yao ndipo utakapojua mbinu na namna ya kuwakamata vizuri. Ni sawa na yeyote anayesomea shahada ya ubobevu ktk fani yoyote! Kishimba yupo sahihi sana.
Kwani kuna mbunge gani wa CCM unayemjua anayeongea point? Kuwa mwanachama tu anakuwa mtalaam katika fani hiyo ndo maana wanateuliwa mojakwamoja toka kijiweni kushika nafasi mbalimbali serkalini kwa umahili wao wa kukwapua. Chuo kitaongeza janga la wizi serkalini.Huyu mbunge toka nimeanza kumjua hajawahi ongea point kamwe. Anyway ni haki yake kutoa maoni wako wabunge wako bungeni wanakula posho na kodi zetu bure tu
Mmawia jitahidi uongee nae Kishimba, na uwe na uwezo wa kuchambua hoja na hapo ndio utajua kwa nini Kishimba tajiri.Alafu jamaa leo hii anaitwa mheshimiwa
Kitasaidia utambue pale unapotaka kupigwaHapo tena vifo vya kujibishana silaha na polisi vitaongezeka sana maana itategemea nani alikuwa na bidii darasani
Ngumu sana kumuelewa huyu mwamba1. Huyo mtu ni darasa la saba ila kaongea kitu ambacho hata maprofesa hawawezi kumuelewa na ndicho kinachoonekana hapa
2. Watu waliopitia vyuo vya kuwaandaa wachungaji na mapadre watakubaliana na mimi kuna somo huwa wanafundishwa kuwa hakuna Mungu na wanasoma phylosopher wengi wanaokataa uwepo wa Mungu ila miaka ijayo ndio wanakuja kusoma kuwa Mungu yupo...
Mmawia jitahidi uongee nae Kishimba, na uwe na uwezo wa kuchambua hoja na hapo ndio utajua kwa nini Kishimba tajiri.Alafu jamaa leo hii anaitwa mheshimiwa
Huyu, lakairo, sauli Hawa ni mashineMzee huwa yupo vizuri huyu ukichunguza kwa undani hoja zake huwa zina kitu ndani
Ili kumkamata hacker lazima uwatumie mahackerMbona kaongea point, naona yupo innovative
Kama kwenye cyber crimes mfano Kwenye udukuzi ili uweze kumkamata mdukuzi lazima uwe umesomea udukuzi, Kwa kwanini mtu asijifunze mbinu za wizi ili awakamate wezi?!
Nadhani wengi hamkumwelewa ndo maana mnamshangaa.
Mbona kaongea pointHalafu mnasema wapinzani ndiyo wanamwangusha His Excellency Mr. Magufuli.
Hivi mtu mzima mwakilishi wa raia wengi, yuko kwenye chombo cha kutungia sheria anaongea huo u stupidly, tena wana kaa kimya wanamchekea
Angekuwa ni Halima Mdee au yule wa arusha kasema hivyo leo tungeamka tunaimba "free halima"
Halafu we are serious, October is nearly here.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule wa bangi mbona Kweli, Kuna nchi wanafanya na nchi inaingiza fedha kibaoSiyo mchango wake wa kwanza wa ajabu michango yake yote utadhani story za wala ng’anda kijiweni then unakuta watunga sheria wetu wanakenua meno yote 32 nje wanamuona ni generous wao kwa kuwa ana hela . Sa sad [emoji3525] kuwa na wawakilishi kama hawa
Ama kweli sasa inadhihirisha kuwa "Akili ni kama nywele kila mmoja anazo zake"ahaha ccm bhana wameshiba wanabakia kujamba tu