Tetesi: Mbunge wa Kibamba ( CHADEMA) , Mheshimiwa John Mnyika kuongea na wanahabari Jijini Dsm

Tetesi: Mbunge wa Kibamba ( CHADEMA) , Mheshimiwa John Mnyika kuongea na wanahabari Jijini Dsm

Kwahyo hicho ndo kinaleta maendeleo? kwan waTanzania tuna nin? yan hilo nalo ndo la kuandika kwa mihemko?
Mbona wakifanyaga wengine hamuongei hivi...yani imemkukera inaelekea....ndo isubiri Hata ukimind wenzako watatilia maanani
 
Machozi, Jasho na Damu....muda utasema tu then watajua walifanya maamuzi ya kipuuzi
 
Nataka chadema ife ili kije kingine ambacho hakina sura ya Uchaga.
Napenda sana upinzani ila chadema imekaa kichaga zaidi na kudharau makabila mengine. Eti 'kiasaka' nyoooo
Huna lolote utakuwa una wivu tu wewe.
 
Wako busy kushughukika na ponjoro huku lichama lao likifa!
 
Nataka chadema ife ili kije kingine ambacho hakina sura ya Uchaga.
Napenda sana upinzani ila chadema imekaa kichaga zaidi na kudharau makabila mengine. Eti 'kiasaka' nyoooo
Wachaga wapo million ngapi ?! Kije kingine kipi?! CCM haitaki upinzani wa dhati inayohatarisha uwepo wake. Hebu angalia wanavyotumia vibaya hazina, kuhakikisha waTz wanabaki kuwa kondoo wasiojielewa
 
Ni kujipa moyo kuwa Chadema inaweza kufa.
Chadema itakufaje? Kwani ilipoanzishwa ilikuwa na wabunge wangapi?. Kwani wapiga kura nao wananunuliwa?, tunajua Tume itawatangaza haohao waliohama ila haiondoi ukweli kuwa sio machaguo ya wananchi katika majimbo husika.
 
Chadema ikifa ni tanzania imekufa.
Niamini.
Hebu fikiria wote tuanze kuimba nyimbo za kusifu wakati watanzania wanapotea.
Tuanze kusifu wakati kila kitu kikienda kujengwa kwenye kijiji kile bila hata bunge kujua.
Mwisho wa siku aje awe wa maisha kama hatutakunywa maji na birika.
 
Nakiona kifo cha CCM kileee kinakuja.
Waswahili wa kale we aliwahi kusema ukiona giza sana ujue panakaribia kukucha
 
Nataka chadema ife ili kije kingine ambacho hakina sura ya Uchaga.
Napenda sana upinzani ila chadema imekaa kichaga zaidi na kudharau makabila mengine. Eti 'kiasaka' nyoooo
Kwani Wachaga sio watu?
 
Wanasiasa wa Tanzania wanajua kucheza na akili zetu, akili zetu ndio mitaji yao.

Leo hii fani inayolipa zaidi Tanzania ni siasa, wasomi wakubwa leo hii wapo kwenye siasa, sio utafiti na ugunduzi.

Siasa inalipa sana, mtaji mdogo tu, "akili za mtanzania"!.
 
  • Thanks
Reactions: etb
Back
Top Bottom