CCM ni tatizo kubwa zaidi kuliko boss,bosses come and go,matatizo yetu hayajaanza kwa huyu mpya mengine mnamuonea tu,huu nimuendelezo tu,chama kilichokuwa na dhamana ya utawala kwa miaka zaidi ya hamsini,nchi yenye rasilimali za kumwaga kama hii,Huu ni Mwaka 2018 lakini bado vitu kama barabara,huduma za afya,maji,elimu na umeme ni changamoto,na vinatumika kama mtaji wa siasa,basic needs ambazo walitakiwa wawe wameshazi sort out walau ndani ya miaka 30 ya utawala wao lakini wapiii.sasa ukiwa mfuasi na mwanachama wa mfumo huu kandamizi ilhali unajua kinachoendelea,tukuchulieje?.