msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Mnyika si nilisikia aliambiwa aombe radhi kwanza ,?alishafanya hvyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cuf ilikuwa ya waislam chadema ya wachaga udp ya wasukuma Act ya waha kikija kingine mtasema Cha wahehe.....ccm punguzeni vituko watanzania tumewachoka mmechakaa Sana....ondokeni mtuachie nchi yetu....Nataka chadema ife ili kije kingine ambacho hakina sura ya Uchaga.
Napenda sana upinzani ila chadema imekaa kichaga zaidi na kudharau makabila mengine. Eti 'kiasaka' nyoooo
Sawa ila wachaga ni watu wazuri hawajui kulipa kisasi,hawatumii mabavu ila wanatumia akili sana kwenye mambo yaoWatabaki wachaga tu maana wanawaita wasio wachaga eti 'kiasaka'
Tufanye nini ili tuweze kukomesha hayo mambo ya poliCCM na NEC fake...au ndo hivi mnaishi kutoa comments mitandaoni na kupata farajaWatu wanasema chadema inakufa chadema inakufa halafu ukiwauliza kwanini inakufa utasikia eti wabunge/madiwani wanahama yaani majibu ya kiupuuzi kama ya prof aliyeshindwa kujibu swali la civics la form one.
Chadema haiwezi kufa kwa sababu ya hamahama ya mayalamayala wa kisiasa,ukiaangalia kwa jicho la tatu ccm ndio imekufa inaishi kwa kutegemea msaada wa policcm na NEC baasi.
Sawa ila wachaga ni watu wazuri hawajui kulipa kisasi,hawatumii mabavu ila wanatumia akili sana kwenye mambo yao
Kwani mtu kuongea na waandishi wa habari ndo kuhama? Mnajihofia nini CHADEMA?? Maana comments zote zinatolewa kana kwamba kuna ambaye kasema anahama.
Wenda wataongelea haya
1.kutekwa kwa Mo
2.Kushuka kwa shilling
3. Ubanwaji wa uhuru wa kujieleza
CCM ni tatizo kubwa zaidi kuliko boss,bosses come and go,matatizo yetu hayajaanza kwa huyu mpya mengine mnamuonea tu,huu nimuendelezo tu,chama kilichokuwa na dhamana ya utawala kwa miaka zaidi ya hamsini,nchi yenye rasilimali za kumwaga kama hii,Huu ni Mwaka 2018 lakini bado vitu kama barabara,huduma za afya,maji,elimu na umeme ni changamoto,na vinatumika kama mtaji wa siasa,basic needs ambazo walitakiwa wawe wameshazi sort out walau ndani ya miaka 30 ya utawala wao lakini wapiii.sasa ukiwa mfuasi na mwanachama wa mfumo huu kandamizi ilhali unajua kinachoendelea,tukuchulieje?.Mkuu ukisoma hapo nilipokoleza unaweza kuwa na chuki na kila mwanasisiemu.
Mi nawaona kama boss wao tu.
Mkuu unajua nguvu ya mitandao ya kijamii? Mbona una_Underestimate nguvu ya mitandao ya kijamii?Tufanye nini ili tuweze kukomesha hayo mambo ya poliCCM na NEC fake...au ndo hivi mnaishi kutoa comments mitandaoni na kupata faraja
Mimi nadhani ni muda wa kuamka sasa na kupapambani kwa uhalisia na sio kupiga kelele za hovyo