Fyekelea mbali ni balaa, Chadema atabaki mwenyekiti wa kudumu na Salary slip. Chadema ina laana ya Dr. Slaa. Karma inafanya kazi.
Nataka chadema ife ili kije kingine ambacho hakina sura ya Uchaga.
Napenda sana upinzani ila chadema imekaa kichaga zaidi na kudharau makabila mengine. Eti 'kiasaka' nyoooo
Wachaga wapo million ngapi ?! Kije kingine kipi?! CCM haitaki upinzani wa dhati inayohatarisha uwepo wake. Hebu angalia wanavyotumia vibaya hazina, kuhakikisha waTz wanabaki kuwa kondoo wasiojielewa
Mkuu wala usiwe na shaka. Wabunge wahame wasihame, hakuna utakachoongezewa au kupunguziwa.Kwanza ninashangaa mtu mwenye akili zako kamili unashabikia kuingia garama za kurudia uchaguzi majimbo ambayo yana wabunge na ni wabunge hao hao watakao kwenda kugombea tena, hivi ni nani aliwaloga watanzania mbona wenzetu hapa Kenya tu jirani na sisi wako tofauti kabisa kimawazo tunatatizo gani sisi? Sasa kwanini tusiwe masikini milele kama ndo vitu tunavyoona vya kushabikia hivyo. Mtanzania tena mlipa kodi unanufaika vipi mbunge akiacha jimbo lake na kuchaguliwa tena katika jimbo hilohilo. Mbona mi siyo mwanasiasa lakini naumia sana kodi ninayolipa halafu inatumika kwenye hayo mambo. Sijui tunapata wapi ujasiri wa kushabikia mambo yanayotutia umaskini mi binafisi hivyo vitendo sioni tofauti na uhujumu uchumi kwakweli. Kama Mbunge anajihuzulu aache huo ubunge asigombee tena lakini leo anaacha kesho anaomba kuchaguliwa awe Mbunge wa jimbo hilohilo, hapana kwakweli huko ni kutuletea umaskini kwa makusudi. Hata kujitegemea nchi haijaweza inategemea misaada halafu kidogo tunachopata kinachezewa kwenye hizo chaguzi za marudio. Mungu iokoe nchi yangu isiangamie.
Dah...yaani kama mwenyekiti asingekuwa na tamaa zake.....akaielewa na Ile falsafa ya "mzoga" ya Mpendazoe...nchi ingekuwa mbali kidemokrasia...[emoji41] [emoji87]Fyekelea mbali ni balaa, Chadema atabaki mwenyekiti wa kudumu na Salary slip. Chadema ina laana ya Dr. Slaa. Karma inafanya kazi.
Mkuu unaweza kuwa na point lkn kwa akiri ya kawaida mwaka huu is too muchMbona wakifanyaga wengine hamuongei hivi...yani imemkukera inaelekea....ndo isubiri Hata ukimind wenzako watatilia maanani
Mkuu ukisoma hapo nilipokoleza unaweza kuwa na chuki na kila mwanasisiemu.Kwanza ninashangaa mtu mwenye akili zako kamili unashabikia kuingia garama za kurudia uchaguzi majimbo ambayo yana wabunge na ni wabunge hao hao watakao kwenda kugombea tena, hivi ni nani aliwaloga watanzania mbona wenzetu hapa Kenya tu jirani na sisi wako tofauti kabisa kimawazo tunatatizo gani sisi? Sasa kwanini tusiwe masikini milele kama ndo vitu tunavyoona vya kushabikia hivyo. Mtanzania tena mlipa kodi unanufaika vipi mbunge akiacha jimbo lake na kuchaguliwa tena katika jimbo hilohilo. Mbona mi siyo mwanasiasa lakini naumia sana kodi ninayolipa halafu inatumika kwenye hayo mambo. Sijui tunapata wapi ujasiri wa kushabikia mambo yanayotutia umaskini mi binafisi hivyo vitendo sioni tofauti na uhujumu uchumi kwakweli. Kama Mbunge anajihuzulu aache huo ubunge asigombee tena lakini leo anaacha kesho anaomba kuchaguliwa awe Mbunge wa jimbo hilohilo, hapana kwakweli huko ni kutuletea umaskini kwa makusudi. Hata kujitegemea nchi haijaweza inategemea misaada halafu kidogo tunachopata kinachezewa kwenye hizo chaguzi za marudio. Mungu iokoe nchi yangu isiangamie.
Kuwa na chuki na aliyekuzidi ni sawa na kumchukia babako kisa kakunyima urisi.Nataka chadema ife ili kije kingine ambacho hakina sura ya Uchaga.
Napenda sana upinzani ila chadema imekaa kichaga zaidi na kudharau makabila mengine. Eti 'kiasaka' nyoooo
Tatizo ni usanii wa viongozi wa vyama vya upinzani wanahubiri demokrasia wasioiishi. Mbowe amejiweka mwenyekiti wa maisha huku akihubiri demokrasia kila siku.Watanzania tuna vichukia vyama vya siasa na team pinzani za mpira (Yanga vs Simba) kuliko kuchukia umasikini
Ikitokea watu wote wakahamia chama kimoja na vingine vyote vikafa tutafaidika na nini?
Kuna wengi ni kuunga mkono bila kufikiria faida au hasara, pia hawajui huenda wanao washawishi kuhamia chama flani lengo lao ni kubaki madarakani maana upizani hautakuwepo
Mipumbavu haiwazi hayo uliyoandika inawaza mwenge na mapambio ya kusifu tu.Chadema ikifa ni tanzania imekufa.
Niamini.
Hebu fikiria wote tuanze kuimba nyimbo za kusifu wakati watanzania wanapotea.
Tuanze kusifu wakati kila kitu kikienda kujengwa kwenye kijiji kile bila hata bunge kujua.
Mwisho wa siku aje awe wa maisha kama hatutakunywa maji na birika.
Watabaki wachaga tu maana wanawaita wasio wachaga eti 'kiasaka'
Ha ha ha habari ipi kwisha sasa [emoji13][emoji13][emoji13]Chadema kwisha habari yao.