Tetesi: Mbunge wa Kibamba ( CHADEMA) , Mheshimiwa John Mnyika kuongea na wanahabari Jijini Dsm

Siku nikiwa mwanachama wa ccm naomba Mungu anipumzishe hakika.
 
huu upumbavu wa kujifanya mna uchungu na kodi zetu sijui umeanza lini? Watu mlisusa katikati ya mchakato wa katiba mpya huku mkijua tumechoma billions of money tena kwa jambo la kijinga kabisa.Nani kakosa choo kisa idadi ya serikali za muungano kuwa mbili?
 
Ni kweli kuna nguvu ya mitandao ya kijamii,lakini sidhani kama ina zaidi ya hata 5% katika kuleta influence kwenye watu walio wengi katika taifa hili

Kuhusu hiyo katiba mpya imekua wimbo unaochuja sasa..wabunge tuliowaamini wako busy kuhama na sisi tuko busy kutoa comments huku,baadae ikifika uchaguzi sisi ndio wa kwanza kulilia tena

Yani haya mambo ya kulilia yashakua sehemu ya maisha yetu huku kwenye mitandao miaka nenda rudi
 
...ivi kwa nini wote wasihamie CCM? ingependeza sanaaaa....mambo ni FIRE/motoooooo
 
Mapinduzi kazi ngumu yanahitaji sayansi hasa kwenye awamu hii ya mkono wa chuma hauendi kichwa kichwa mwanangu inahitaji timing.

Hiyo hiyo 5% ni kubwa mno,maana mie nikijua issue kwenye mitandao nawaambia watu wasiokuwepo kwenye mitandao na wao pia wanawaelezea marafiki zao ndivyo habari zinavyoenea sio lazima wote tuwe kwenye mitandao,wachache tu wanatosha...Tell a friend to tell a friends.
 
Mlitaka democrasia Kubalini na gharama zake. Demokrasia ni ghali na hii ni sehemu ya huo ughali wake.
 
Wewe wasema
 
Wabantu/waafrika tuna matatizo. Wakati mwingine nawaza labda tungekua wote kama taifa ni kabila moja labda tungefanya vizuri kama taifa. Lakini, nikiwaza mbele na refer Somalia ambako ni kabila moja ila chuki cha kubaguana kikoo zinawamaliza. Basi alimradi waafrika ni viumbe wa ajabu kupata kutokea ktk dunia hii.
 
Akihama Mnyika, Nassari na Prof Jay lazima uti wa mgongo wenu utatingishika. Subiri.
Ameondoka Dr Slaa mkaona chama kinazidi kuwa strong mmepata wenge,Ngoja niwaambie ukweli watu wa sisimu ili msiendelee kupoteza fedha kununua "MALAYA WA KISIASA" CHADEMA SIO MTU, hata akiondoka MBOWE Chadema itaendelea.
 
Habari wakuu

Sinampango wowote wa kuongea na waandishi wa habari popote na siku yeyote ile

Naendelea na kazi zangu za ujenzi wa chama na kuimarisha kazi zangu za kibunge jimboni kwangu

JJ-Mnyika
Mb-Kibamba
Dsm

14/10/2018
 
Kazi kwenu Invisible
 
CCM Kwa Umbea, mtatiwa vidole vya macho
 
Kuna wapumbavu wanaeneza uvumi wa kijinga badala ya kutuambia alipo Mo..nataka mtutoe kwenye mstari....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…