Mbunge wa Makete Amshukuru Rais Samia Kwa Fedha za Kuboresha Elimu na Taa za Barabarani Makete Mjini

Mbunge wa Makete Amshukuru Rais Samia Kwa Fedha za Kuboresha Elimu na Taa za Barabarani Makete Mjini

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Makete Festo Sanga ameandika ujumbu wa kumshukuru Rais Samia kwa kujibu kwa vitendo ombi la Wana-Makete la kuboresha zaidi miundombinu ya Elimu pamoja na barabara za mji wa Makete la kuwekewa taa zinazoongeza usalama na kuwezesha kuendelea kwa shughuli za uzalishaji mali nyakati za usiku.

Ameandika:

"MAMA @samia_suluhu_hassan tunakushukuru sana, ulipokuja Makete nilikuomba taa za Barabarani kwaajili ya Makete Mjini.
Taa zimeshafungwa, mji umependeza sana🙏🙏"



"Wanamakete tumepewa 2.1 Billion kuimarisha miundombinu ya shule tatu (Matamba,Makete Girls na Mwakavuta) tayari kwa kupokea Kidato cha tano.

Asante sana Mh Rais Samia Suluhu Hassan
, haijawahi kutokea, sisi Wanamakete tunasema asante sana.

Tutazisimamia fedha hizi kweli kweli."

WhatsApp Image 2023-05-25 at 22.25.12 (1).jpeg
 
Back
Top Bottom