sheriff john brown
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 717
- 714
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me mwenywe nashangaa kwa kweli....Na sikutegemea mtu kma sugu kufanya hivi, Matokeo ya wazungu haya.Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
Kwamba mimi na wewe tunatokea mkoa mmoja?Hehehe eti wakinga wenyeji wa mkoa wa Mbeya na unasema umezaliwa huko? Hahaha
Cc Heaven Sent
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unalijua hilo iweje kutwa kushinda kwenye nyuzi za watu kukosoa yaliyoandikwa, tena na dhihaka juu.Kila style ya kuandika ina pahala pake. JF ni kama kijiwe tu cha gahwa, hatuandikiani barua hapa.
safi sana kaka Leo Umemaliza, big upKwako wewe ni kama kijiwe tu, ila kwangu mimi naichukulia JF kama shule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na huyo tahira Punguani wa head huyoKama unalijua hilo iweje kutwa kushinda kwenye nyuzi za watu kukosoa yaliyoandikwa, tena na dhihaka juu.
Ishi unachohubiri mpendwa. Hata hao unawaita 'mapunguani' kwenye kosoa zako, pengine na wao huandika kukaribiana na matamshi yao na si kuandika barua.
Leo kapata wanaume kweli kweli humu, safi sana
Na chini yake ungeandika "hivi shuleni mnaenda kujifunza ujinga?Mmeutowa=mmeutoa
Bwanake=bwana wake
Wewe ni bingwa wa kukosoa watu humu,kubali na wewe kukosolewaKila style ya kuandika ina pahala pake. JF ni kama kijiwe tu cha gahwa, hatuandikiani barua hapa.
Huu ujinga wa kumpigia magoti mwanamke wakati wa kumvalisha pete ya uchumba mmeutowa wapi?
Mtumwa haachi asili ya bwanake hata siku moja.
Mupe mupe.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pia ongezea kuwa mtumwa haachi kuvaa magunia kichwani kuiga tamaduni za wengine kujifanya mwaarab wakati hana issue yeyote.
safi sana kaka Leo Umemaliza, big up
Kuweni tu na fikra za kitumwa, si vibaya.
Umesahau kwamba ni wewe ulianza kukosoa wengine humu?Kila style ya kuandika ina pahala pake. JF ni kama kijiwe tu cha gahwa, hatuandikiani barua hapa.
Kosoa tu, una Uhuru wa kikatiba wa mawazo yako au unayatilia shaka?
Ooh, ni vyema sana kuona nami ni mbunifu na wengine wanaiga. Hiyo inaitwa FF affect.
Hapendi kukosolewaKama unalijua hilo iweje kutwa kushinda kwenye nyuzi za watu kukosoa yaliyoandikwa, tena na dhihaka juu.
Ishi unachohubiri mpendwa. Hata hao unawaita 'mapunguani' kwenye kosoa zako, pengine na wao huandika kukaribiana na matamshi yao na si kuandika barua.