Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Sugu amvisha pete ya uchumba Happy

Anafanya jambo jema. Umri umeshasogea.

Tunashangaa kupiga goti? Sio uafrika!? Mbona hatushangai pete yenyewe? Hatuna suala la pete katika ndoa za kimila za kiafrika.
 
Kila style ya kuandika ina pahala pake. JF ni kama kijiwe tu cha gahwa, hatuandikiani barua hapa.
Kama unalijua hilo iweje kutwa kushinda kwenye nyuzi za watu kukosoa yaliyoandikwa, tena na dhihaka juu.
Ishi unachohubiri mpendwa. Hata hao unaowaita 'mapunguani' kwenye kosoa zako, pengine na wao huandika kukaribiana na matamshi yao na si kuandika barua.
 
Kama unalijua hilo iweje kutwa kushinda kwenye nyuzi za watu kukosoa yaliyoandikwa, tena na dhihaka juu.
Ishi unachohubiri mpendwa. Hata hao unawaita 'mapunguani' kwenye kosoa zako, pengine na wao huandika kukaribiana na matamshi yao na si kuandika barua.
Achana na huyo tahira Punguani wa head huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom