Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga (CCM) augua uchizi

Tuambie nani wamiliki wa leseni vamizi jimboni Mbogwe.

Acheni kuhamisha goli
 
Reliability ya gazeti Kwanza kabla hatujaendelea na mjadala. Hili gazeti la Nani?
 
Nimeshi na wasukuma kwa muda mrefu, huyo katendwa. Baba yake anaujua ukweli ndio maana anasema asiende hospital.
 
Magazeti mengine bhana..

Picha na Kichwa cha habari vina utata. Picha iliyo wekwa mbele inapoteza ujumbe dhamiriwa.

Au uyo alie jipinda kiupande kama kalala ndio kaugua?
 
Spika mwenyewe amewahi kukiri kuwa "Asichezewe kwani ana faili Mirembe" bado kama taifa hatuchukui hatua.
Siku akivua joho na kutembea Bungeni korodani zinagongana kama kengele ya vipindi shuleni ndio watashtuka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]wewe jamaa sijui umewaza nini aisee
 
Matola, tatizo la mtu mmoja usihusishe CCM, Bunge na hata kuitaja kirahisi Ikulu kwa ujumla. Huyo ndugu mbunge kuugua matatizo ya akili ni suala la mtu mmoja. Tusichafue taasisi zetu. Muhimu mbunge akatibiwe, apumzike ubunge hadi apone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…