Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga (CCM) augua uchizi

Inasemekana Baba yake mzee Maganga amekataa mtoto wake asipelekwe hospital na badala yake amempeleka kwa mganga wa kienyeji
 
Spika mwenyewe amewahi kukiri kuwa "Asichezewe kwani ana faili Mirembe" bado kama taifa hatuchukui hatua.
Siku akivua joho na kutembea Bungeni korodani zinagongana kama kengele ya vipindi shuleni ndio watashtuka
Hiyo naikumbuka alisema yeye kwa mdomo wake.

Pili najiuliza kwani yule bundi bungeni alimfuata nani?
 
Hahaha[emoji23]
 

Someni jina la muanzisha mada hiii..anajiita kichaa, I suspect ndio Maganga mwenyewe, alikua anajijua
 
Siku zote nasema na narudia tena, huyo mwendakuzimu asipokwenda motoni basi ujuwe moto haupo na wala hakuna Mungu zitakuwa ni hadithi tu.

Kwa matendo ya kishetani aliyoyafanyia nchi yetu mtu huyu, kamwe hawezi kuiona pepo.
Yule anaweza asiende jehanamu kwa sababu alikuwa mgonjwa wa akili. Watakaoenda jehanamu ni wale waliompa uongozi, waliokuwa wanapokea amri na waliokuwa wanamshangikia mwendazimu. Mwendawazimu anakuambia wewe mzima ukaue, na wewe unaenda kuua!
 
Huyo mbunge ana matatizo binafsi na yote aliyosema bungeni sio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…