Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (CHADEMA) kuhamia NCCR-Mageuzi

Himalaya,
Hilo ndilo tatizo kuu la Chadema. Acheni kanuni za ushindani ziwe huru, katiba ifuatwe hadi nukta, bila kumwangalia mtu usoni.

Sasa mtu mwenye sifa ni Lucy Owenya, Mbowe aliingilia kati ili iweje? Hata Mwenyezi Mungu haangalii mtu usoni, analiangalia neno lake apate kulitimiza, apandacho mtu ndicho atakachovuna.
 

Itakua waliiga CCM kipindi kile JK alivyokuja na majina yake mfukoni kwenye mkutano mkuu uliompa ushindi bwn yule.
 
Nakubaliana na wewe Mkuu. ... Point ya maana Sana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…