TANZIA Mbunge wa Newala Vijijini, Ajali Rashid akutwa amefariki katika Gesti ya Mingoyo

apumuzike pahali anastahili, haswa pale watu wa kijana tabia zao zinawapeleka, na ndungai tayari amesema bunge litasirikiana na familia, sababu yeye ni ccm, mhe tundu lissu, kavuliwa ubunge, risasi 37, lakini mungu ni mkubwa, mhe lissu BADO AKO HAI LICHA YA UGAIDI NA UNYAMA WA WANAKIJANI ccm,
 
Kifo kinaweza kukukuta popote, sababu huja baadaye.
"...I have always loath the necessity of sleeping, like death it can put even the powerful men on their back...."
The House of Cards
 
Guest hapa ndiyo iliyobeba habari.Anyway Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi!
Kama kaburi Lina adhabu wachimba makaburi watakiona Cha mtema kuni maishani sababu huwa hayuko anayewaombea Dua ya kupunguziwa adhabu ya kaburi wakishamaliza kuchimba kaburi
 
Amina Mtumishi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…