TANZIA Mbunge wa Newala Vijijini, Ajali Rashid akutwa amefariki katika Gesti ya Mingoyo

TANZIA Mbunge wa Newala Vijijini, Ajali Rashid akutwa amefariki katika Gesti ya Mingoyo

apumuzike pahali anastahili, haswa pale watu wa kijana tabia zao zinawapeleka, na ndungai tayari amesema bunge litasirikiana na familia, sababu yeye ni ccm, mhe tundu lissu, kavuliwa ubunge, risasi 37, lakini mungu ni mkubwa, mhe lissu BADO AKO HAI LICHA YA UGAIDI NA UNYAMA WA WANAKIJANI ccm,
 
Kifo kinaweza kukukuta popote, sababu huja baadaye.
"...I have always loath the necessity of sleeping, like death it can put even the powerful men on their back...."
The House of Cards
 
Guest hapa ndiyo iliyobeba habari.Anyway Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi!
Kama kaburi Lina adhabu wachimba makaburi watakiona Cha mtema kuni maishani sababu huwa hayuko anayewaombea Dua ya kupunguziwa adhabu ya kaburi wakishamaliza kuchimba kaburi
 
Amina Mtumishi
Ni vigumu sana kutoa pole kwa mwanaccm kiongozi yeyote anaekufa awamu hii!!!Wamejipambanua kama wataabishaji,watesaji na wauaji!!!MI NASEMA MUNGU ENDELEA KUWAUA WANAOKALIA KIMYA MATESO NA MAUAJI YA WENZAO!!!Asante yesu kwa kutenda!!!!KAMA UMEPEWA MAMLAKA YA KUSEMA KWANINI USIKEMEE MATESO YA WATAKAO KUZIKA SIKU UKIFA?????Namshukuru mungu kwa kumuondoa aliekalia kimya mateso ya nduguze kwa kulinda tumbo lake!asante yesu kwa muujiza huu!naomba utende Bwana tumechoka sisi wanao!!!HII NI KOMENTI YA KUKARIBISHA MWAKA 2020!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom