TANZIA Mbunge wa Newala Vijijini, Ajali Rashid akutwa amefariki katika Gesti ya Mingoyo

Ooh!Raha ya milele umpe Ee Bwana; Na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani; AMINA!
 
R.I.P
Chanzo hakija fahamika tutaelewana tu mbele ya safari ndugai amesikitishwa !
 
😅😅😅tuwaite wahusika wajibu hili
  • Mkuu adhabu ya kwanza ni kule kuwekewa kifusi muda mfupi baada ya mwili wako kushushwa kule mahali.
  • Mbili kaburi halina mbwembwe so hakuna AC wala nini hivyo ni joto mtindo mmoja,na uombe kufa kipindi ambacho hakuna mvua ili kuepuka kuzikwa kwenye tope.
  • Tatu ni ka hivi unaoza funza wanakufaudu unageuka mbolea mimea ilopandwa kwenye kaburi lako inakua mbuzi wanaila na maisha yanaendelea.
    • Ila mkuu kuna yale makaburi ya VIP design kama ya wale waliozikwa kisutu ama red cross upanga nadhani kule hakuna ubaharia wala uswahili na kwakuwa Mungu anapenda sehemu isiyo na uswahili basi siku ya kiama wale watanyakuliwa direct kwenda hukoooo kwenye baridi kali.
 
Mwanadamu kumbuka kuwa u mavumbi wewe na mavumbini utarudi
 
CCM hata wakifa wote poa tu mbona!
 


Daaah!
Kumbe tayari alikuwa mgonjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…