DOKEZO Mbunge wa Ngorongoro (CCM): Maisha yangu yapo hatarini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Si ndiye alikua nyuma ya wanahabari kushambuliwa!?
Hao walikuwa wanahabari au MAWAKALA WA MAFISADI NA WALA RUSHWA WAKUBWA WA AWAMU YA SITA?
Kwa taarifa yako Mawakala wa Mafisadi na walarushwa ni wasaliti wa Taifa. Hawa waandishi wa aina ya KITENGE na wa gazeti la mwananchi ni maadui wa taifa.

Hawa wanajali matumbo yao tu na starehe za familia zao. Hawana habari Kabisa na dhiki wanazopata maefu ya wamasai. Kwa maoni yangu Kushambuliwa tu haitoshi, hawa haki yao ni kufugwa jiwe la kusagia na kutupwa baharini.
 
Ni mpumbavu pekee ataamini wamasai wamehama kwa hiari. Tanzania tunafanyiana ukatili usiomithilika kwa uroho wa pesa na madaraka. Inasikitisha sana yani.
Hivi hawa waarabu mbona kipindi cha mwl Jk Nyerere hawakuwa na nguvu kiasi hiki?
 
Na huyu mzungu hizi ekari milioni 6.1 anazomiliki ziko maeneo gani? Au naye ziko huko huko Ngorongoro? 😳😳😳



 
Maji yamechemka sana. MaCCM yameamua kumalizana. Ukizoea kula nyama ya mtu huwezi kuacha. Sasa wanamshughulikia ndugu yao[emoji419][emoji375]
 
wanamtengenezea safari nyingi nyingi sana yaani matukio kila kukicha kiasi kwamba hana kabisa muda na wanaoendesha serikali ni genge fulani lipo Kule kunani. Yaani Rais Samia ni mzalendo sana tena sana.


HII NI KWELI, SASA NANI AMWAMBIE UKWELI MAANA HAWAMPI HATA MUDA WA KUSOMA VITU.
 
Awaachie ubunge wao mpaka saa hizi anasubiri nn
Huoni sasa hivi walivyokuwa na jeuri ya pesa, Neyma Jr, Benzema,CR7, Mane, Kante, Fofana, Firmino etc wanawahamishia tu kwao. Na wanakoelekea itakuwa wanawanunua mpaka MaRais wa kuwaongozea nchi yao.
Na njia stahiki zisipochukuliwa dhidi yao, soon watatawala dunia
 
Mkuu

Kwani si huo MCHAKATO ulishakamilika na wamasai wakahama!!?

Kwani bado kuna masai wabishi ambao HAWATAKI kuhama hadi leo!!?

Hii inashangaza nilidhani msomera village done and dusted kumbe bado!!?
 
Kipindi cha mwl hao system walikuwa na adabu
System ina workers, flow, interconnectedness, stock ,feedback na Feedback loops .....stock iliyokuwa ikijaa toka kwa watendaji wa Mwalimu Stock yake ndio hii unayoiona leo.
 
Hivi ambao mko huko mitandao mingine hizi mambo za siasa zijadiliwa sana kama hapa jf??
 
System ina workers, flow, interconnectedness, stock ,feedback na Feedback loops .....stock iliyokuwa ikijaa toka kwa watendaji wa Mwalimu Stock yake ndio hii unayoiona leo.
Asante mzee kwa kudadavua mambo magumu ya kijitonyama
 
Huyu si ndio aliandaa wamasai wawafueke waandishi? Ashughulikiwe sawa sawa na alivyofanya.
 
Wamasai sio watu wa kuwatetea, nitashangaa atakaye watetea hawa wapuuzi, hakuna watu ambao wanakugeuka dakika sifuri kama.wamasai
 
Watu wanatetea waarabu mpaka unashangaa huyu ni mbongo kweli? Pesa zenyewe za wanaotetea ni ten ten za bando tu huku wanafaidika wengine kabisa. Safari yetu ndefu sana
Ni mpumbavu pekee ataamini wamasai wamehama kwa hiari. Tanzania tunafanyiana ukatili usiomithilika kwa uroho wa pesa na madaraka. Inasikitisha sana yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…