Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Benard Membe alisema hatutosikia watu kutekwa wala kuumizwa. Kauli haijamaliza hata wiki mbili. Kweli ukishiba humjui mwenye njaa
Ndani ya ccm hakuna anayepigana kwa maslahi ya watanzania.
 
Anachokisema mh mbunge, yuko sahihi, na alichokisema mh waziri mkuu yuko sahihi, maana wanaongelea maeneo mawili tofauti, yaani Ngorongoro (hifadhini) na Loliondo (kwenye bonde tengefu)
Kumtetea Katelefone ni kukosa huruma kwa watanzania
 
Mbona unataka kupotosha uhalisia?

Unafanya hivyo kwa maslahi ya nani?
 
Majaliwa aliwahi kusema uongo akiwa ndani msikitini. Je, mtu huyo anaweza kusema ukweli akiwa Bungeni??
 
Kama Mererani kulijengwa ukuta, ikibidi, Ngoro ngoro nayo ijengewe fensi kukata mzizi wa fitina. JKT si wapo?
Chukueni vijana wa JKT wafyatue matofali ya kuchoma eneo la hifadhi lijengewe wigo.
 
Hebu tuelimishe wewe, lengo lake ni nini?

Na unakwendaje kuweka alama kwenye ardhi isiyo yako? Ardhi ya Loliondo na Ngorongoro si ya serikali bali ni ya umma na umma huo ni hao wananchi wenyeji wa vijiji vya maeneo hayo tangu vizazi na vizazi...

Ardhi hiyo ni mali ya wananchi wa vijiji vilivyo kwenye maeneo hayo...

Serikali ikitaka kuichukua kwa sababu zake, sharti wakae chini na wenyeji, wazungumze na kukubaliana..

Sasa swali la kujiuliza ni hili, kwamba, iweje serikali ipeleke wanajeshi/askari polisi wakiwa na silaha za kivita kuvamia ardhi ya watu tena bila uongozi wa wananchi wa maeneo kujua lolote linaloendelea? Je, huko si ni kutaka kuleta vita na maafa yasiyo na sababu...??

Very stupid decisions from very stupid and foolish government officials.!
 
Wasiwasi wangu ni huo ubunge jee ataendelea nao au ndiyo atapangiwa majukumu mapya?
Huo ubunge wenyewe sï kahongwa tu na marehemu, wao wmejeruhiwa lakini ndio hao hao waliouwa polisi inakuwaje serikali kuweka beacon wamasai watangaze vita na serikali wakati tu najuwa ardhi yote ni milki ya serikali.
 
Huo ubunge wenyewe sï kahongwa tu na marehemu, wao wmejeruhiwa lakini ndio hao hao waliouwa polisi inakuwaje serikali kuweka beacon wamasai watangaze vita na serikali wakati tu najuwa ardhi yote ni milki ya serikali.
Upo sahihi sana mkuu
 
Wewe ni mkenya sawa sawa na hao wakenya wenzako mliowekza magombe yenu tanzania kwenye ardhi ya bure kwa sababu Kenya ardhi yote inamilikiwa na watu binafsi sasa wameshtuka kuona serikali inapima ardhi yake.
 
Ndio hivyo, huwezi chekea tumbili wanakula mahindi, utakufa njaa..

Hao wanaotaka kuendelea kuharibu hifadhi wafyekwe wote, Nchi ni ya muhimu kuliko Masai wachache.
Una uhakika na unachokisema? Kuna siku yatakukuta hata wewe au wapendwa wako.
 
Wasiwasi wangu ni huo ubunge jee ataendelea nao au ndiyo atapangiwa majukumu mapya?
Hujaona orodha ya madiwani waliokamatwa na hawajulikani walipo, Unadhani madiwani ni chama Gani?

Mh LEMA aliwahi kusema, wakiwamaliza wapinzani watageukana wao Kwa wao.

UOVU Hauna DINI, CHAMA,KABILA, RANGI nk. Tuungane Kwa pamoja kukataa UOVU.

HOFU ni DHAMBI, tusilale Hadi HAKI itakaposomama ktk Nchi.

UOVU hautamwokoa yule aliouzoea .Amen
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…