Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro.

Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya Ololosokwan bila PF 3, na waliowapiga ndiyo wanatakiwa kutoa PF 3.

Ikabidi wakaamua kwenda Kenya kutibiwa, Waliopigwa ni wapiga kura wangu halali na siyo wakenya.
Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai

====

Katika Ukurasa wake wa Facebook, Mbunge wa Ngorongoro ameandika hivi:
 
Hili suala linavyokwenda kuna kila dalili ya kwenda kuigharimu nafasi ya uwaziri mkuu kwa Mh Ka[emoji3513] jumba bovu linaweza kumuangukia wakati wowote ule.
Linatafutwa pia koti la katelephone ktk mgogoro huu. Angesimamia Kweli angesalimika.
 
Wapi Diblo Dibala,lete maneno.Balezee belezee baelewe Mheshimiwa Mbunge!
 
Kwa akili za wachumia tumbo za watanzania wengi ambao wanaangalia darubini ya maisha kwa mita moja mbele hakutawahi kuwa na civli war.

Kiminyo kitaendelea na Ologarchs wanapasua anga tu, nasubiria yule aliyeitaka Coco Beach nae akaichukue sasa kwa raha mustarehe iwe mali yake. Marufuku kwa mshenzi yeyote kutoka Mbagala au uswahili kokote iwe K nyamala au Tandale kusogelea ufukwe bila kukabidhi "Luteni" au TZS10,000 kwenye lango la Beach!

Itakuwa ni bora maana wameharibu sana Coco Beach. Huwezi kulinganisha Coco Beach ya leo na Oysterbay beach ya miaka ya 70s na 80s. Palikuwa ni pazuri sana na watalii wanaenda kuvinjari pale. Leo vurugu tupu.
 
Wewe ni mkenya sawa sawa na hao wakenya wenzako mliowekza magombe yenu tanzania kwenye ardhi ya bure kwa sababu Kenya ardhi yote inamilikiwa na watu binafsi sasa wameshtuka kuona serikali inapima ardhi yake.
Ume - miss fire...

Mimi siyo mkenya, ni msukuma na niko zangu kwetu Iselamagazi - Shinyanga.

Nadhani unaandika kwa kufuata mkumbo tu bila kuwa na taarifa kamili na zenye facts...

Sisi wenzako tunaandika tukijuacho...
 
Ku
Kumbe Ngoro Ngoro imemeza wengi Sana kama kile kisiwa pendwa tu ETI eeh!!!
 
Back
Top Bottom