Hebu tuelimishe wewe, lengo lake ni nini?
Na unakwendaje kuweka alama kwenye ardhi isiyo yako? Ardhi ya Loliondo na Ngorongoro si ya serikali bali ni ya umma na umma huo ni hao wananchi wenyeji wa vijiji vya maeneo hayo tangu vizazi na vizazi...
Ardhi hiyo ni mali ya wananchi wa vijiji vilivyo kwenye maeneo hayo...
Serikali ikitaka kuichukua kwa sababu zake, sharti wakae chini na wenyeji, wazungumze na kukubaliana..
Sasa swali la kujiuliza ni hili, kwamba, iweje serikali ipeleke wanajeshi/askari polisi wakiwa na silaha za kivita kuvamia ardhi ya watu tena bila uongozi wa wananchi wa maeneo kujua lolote linaloendelea? Je, huko si ni kutaka kuleta vita na maafa yasiyo na sababu...??
Very stupid decisions from very stupid and foolish government officials.!