Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fyeka hao majambazi walioua polisi wetu..
Sema wewe Kaka niko nimekaa paleWatu wanatamani ukimbizi yaani vurugu wafanye wao halafu wajiite wakimbizi.
Ina mana walsema Tanga mbali bora wakatie huruma Kenya au hamjawauliza!?
Usanii mtupu. Wao wangehangaaika na ruto na baba Yao odinga. Watuachie nchi yetuSijaelewa
Mama anaupiga mwingi.Fyeka hao majambazi walioua polisi wetu..
Waleteni wengine mtawarudisha kwenye majeneza
Ila kama ni Uchawa wewe ni Super Pro Max.Acheni uhuni wa kuweka picha zenye propaganda za kihuni kuwatetea wahuni!.
Aiiseee!Hao masai watakuwa sukuma gang maana sisi tunapumua,,
Alisikika taahira sexless na sukule mmawia yakifanya uchawa kwa mama. View attachment 2259803
ShangaaWatu wanatamani ukimbizi yaani vurugu wafanye wao halafu wajiite wakimbizi.
Viongozi pendwa wanasema Ni vita ya uchumi
Mungu fundi ukute aliyeuawa ndo alitumika kumfatua Lissu. 😂Fyeka hao majambazi walioua polisi wetu..
Waleteni wengine mtawarudisha kwenye majeneza
Vurugu mmefanya ninyi kuwatimua! Au maaskari mlipeleka wa nini? Walianza kupigana wao kwa wao ndo mkatuma askari?Watu wanatamani ukimbizi yaani vurugu wafanye wao halafu wajiite wakimbizi.
Mbele za huyu dada mzururaji akili huwa zinakutoka kabisa, hii comment ulivyoiandika ni kama vile hautawahi kuwa kwenye jeneza.😄Fyeka hao majambazi walioua polisi wetu..
Waleteni wengine mtawarudisha kwenye majeneza
Uchawa umekumaliza akili kabisa , acha wanaoitakia nchi mema wafanye kazi zao ,wewe focus na uchawa na kulamba matako labda akili itarudiFyeka hao majambazi walioua polisi wetu..
Waleteni wengine mtawarudisha kwenye majeneza