Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Mleta Mada tujuane.... Unatokea the Gang, Mataga, Nyumbus au Walamba Asali..?
Maana mpaka hivi sasa tumechanganyikiwa huu mnyukano unavyoenda..! Nani against nani?
 
Kinachotia hasira katika jambo hili ni mambo mawili:

Mosi: serikali kuwanyanyasa wananchi wake kwa manufaa ya wageni

Pili: Nchi jirani kutumia jambo hilo na kulifanya propaganda kwa faida yao.

Kwa yote mawili, serikali inabeba lawama zote.
 
Watu wanatamani ukimbizi yaani vurugu wafanye wao halafu wajiite wakimbizi.
Vurugu mmefanya ninyi kuwatimua! Au maaskari mlipeleka wa nini? Walianza kupigana wao kwa wao ndo mkatuma askari?
 
Hao wamasai walioenda Kenya, ni sawa sawa maana wamerudi kwao. Wamasai halisi wa Tanzania wengi wameshahama kwa ridhaa yao. Wakenya wenye umasai wa mchongo wanaogopa kwenda kuishi mbali na mpaka wa nchi yao maana itakuwa rahisi watu kuwagundua, ndo maana wanapambana ili waendelee kubaki hapo hapo karibu na kwao. Mama endelea kuwafinya mapumpu hao wakenya waliojazana katika ardhi yetu kwa kisingizio cha umasai wa mchongo. Fyekelea mbali na mifugo yao ili wakailishie huko huko kwao.
 
Back
Top Bottom