peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro.
Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya Ololosokwan bila PF 3, na waliowapiga ndiyo wanatakiwa kutoa PF 3.
Ikabidi wakaamua kwenda Kenya kutibiwa, Waliopigwa ni wapiga kura wangu halali na siyo wakenya.
Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai
====
Katika Ukurasa wake wa Facebook, Mbunge wa Ngorongoro ameandika hivi:
TANZIA - Naibu Waziri, William Ole Nasha afariki dunia
Taarifa za hivi punde ni kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mhe. William Ole Nasha amefariki dunia nyumbani kwake Jijini Dodoma. Marehemu alikuwa Mbunge wa Ngorongoro na amekuwa Naibu Waziri mara 4 katika Wizara tofauti. Amefariki majira ya saa 4 kasorobo usiku huu.