Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

Hakuna kabila lisilokuwa na kiburi na majivuno hasa inapokuwa ni chao kwao. Wamaasai ni watu cool sana pale wanapokuelewa, kupingana na serikali ni dalili ya kuwa ushirikishwaji wao kwenye maamuzi hayo haukuwa vizuri.
 
Kwa hiyo tunatengeneza wakimbizi saivi?
Hapana Tanzania hatutengenezi wakimbizi kwa raia wetu, isipokuwa Kenya ndio inayotengeneza wakimbizi kupitia wamasai wakenya waliokuwa wanaishi Tanzania kupitia uraia ili waweze kuitumia ardhi yetu kwa ajili ya kulima, kulisha mifugo yao na wengine kuuwa tembo wetu kwa njia ujangili na nk.

Haiwezekani raia halisi wa nchi waache kwenda kuishi katika nyumba za kisasa zilizojengwa na serikali afu badala yake aende akishi katika nchi nyingine kama mkimbizi. Wewe unaona inaingia akilini kweli? Yani mtu uache kwenda kuishi sehem uliyopewa bure na serikali tena yenye shule nzuri, hospital, soko vitu vya basi nk eti ukaishi kama mkimbizi katika nchi nyingine? Huu usanii wao safari hii umegonga mwamba.

Japo kenya wanajifanyaga wana elimu na wanaona mbali ila sasa hivi kila nchi ina serikali na raia waliamka. Ndugu yang kama wew ni mtanzania halisi hebu shtuka. Hapa kuna mchezo tunaochezewa na jirani zetu wa upande wa pili kwa ajili ya masilah yao binafsi.

images (14).jpeg
images (34).jpeg
images (67).jpeg
 
Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro...
Tuliwaambia kuwa sa100 ni muhuni tu ...ni hatari ikulu kukaliwa na wahuni
 
Ndio hivyo, huwezi chekea tumbili wanakula mahindi, utakufa njaa..

Hao wanaotaka kuendelea kuharibu hifadhi wafyekwe wote, Nchi ni ya muhimu kuliko Masai wachache.
Hata tanzania ni yamuhimu kuliko uhai wa wazanzibar sasa huwa mnalialia nini vijana shupavu wa jwtz wakija kuua zenji
 
Serikali haiwezi kufidia Watu wasio na umiliki. Mali zao ni ngombe na hakuna MTU aliyezichukua. Hakuna Watu WENYE ardhi isiyo na mipaka...
Honestly, hata sijaelewa hoja yako specific ni nini..

Lakini, haijalishi. Labda nikuulize swali hili moja..

Kwani, wewe kwenu ambako ni asili yako na wazazi wako ni wapi kwani ndugu 1000 digits?

Hebu tuashumu, ni kule Peramiho kata ya Mtogo ambako wazazi wako na vizazi vyao vimekuwapo...

Sasa, hebu jaribu kujibu swali hili ukitumia dhamira safi ya nafsi na moyo wako pasipo kujidhulumu mwenyewe..

Kwamba, itokee sasa serikali inaamua kuja kunyang'anya ardhi wananchi wote wa kijiji chako na vya jirani eneo lenye ukubwa wa zaidi ya 16,000km² bila kuwashirikisha, bila kukubaliana nao eti tu kwa sababu iliyoamua ni serikali...

How would you feel..? Wananchi hao ndugu zako wangefanyeje unadhani?

Hiki ndicho kinachotokea huko Loliondo na Ngorongoro...!!

Nakushangaa tu unavyowalauumu hao Wamasai na kuwapa kila aina ya majina mabaya eti tu kwa sababu hawakaribishwi watu wengine kwenye ardhi yao..

Sasa, utawezaje kumpangia mtu namna ya kuishi ktk eneo lake binafsi? Hiyo ni ardhi yao, wamezaliwa hapo tangu vizazi na vizazi. Wanalinda mila, desturi na utamaduni wao ikiwemo kutouza ardhi kwa wageni...

Leo serikali eti inataka iwatoe wamasai ktk ardhi yao ya asili ili imuuzie mtu toka taifa jingine kwa jina la "mwekezaji". Hiyo ni ngumu, haikubaliki. Kama ni hilo dude uliitalo "serikali" kushikwa sharubu, sasa hakika litshikwa na lazima litulie kwa sababu nguvu ya umma ni kuu kuliko kikundi kidogo cha watu kinachoitwa "serikali"...!
 
Back
Top Bottom