Mbunge wa Nyatike, Kenya: “Freedom of Speech” iko Kenya pekee, ukivuka mipaka mambo yako tofauti

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
14,029
Reaction score
34,441
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke yake. Ukivuka mpaka, hayo mambo unaacha hapa Kenya.

Hawa majirani zetu watu wa Tanzania hawajafika hii kiwango ya Kenya. Hapa Kenya unaweza kusema kitu unataka lakini siyo Tanzania. Sisi tunaosafiri mara kwa mara kwenda Tanzania kwa biashara tunaelewa. Tanzania kuna amani lakini ni ya hofu. Mtanzania hata ndugu yake awe arrested illegally hawezi kuongea, ataenda kupost kwa social media. Na huko social media atafungua fake account ili asijulikane ni yeye. Au atapeana story kwa prominent figures wamsaidie kusema lakini kwa masharti wasimtaje kwa jina. That is the level of cowardice walionayo watu wa huko.

Kwa hiyo hawa activists watu wetu kabla hawajaenda huko walitakiwa wawe wanajua hiyo situation. Siasa ya Kenya na siasa ya Tanzania iko tofauti kabisa. Hii demokrasia tunafurahia hapa Kenya mahali watu wanaweza kuexpress vile wanataka, hakuna kwa kwa jirani. Na siyo Tanzania tu hata ukienda Uganda, DRC, Rwanda, Burundi na South Sudan hakuna. So the whole East Africa community, freedom of speech ipo Kenya peke yake.

So kama tunataka mabadiliko ili majirani wawe na freedom of speech kama tuliyonayo, itachukua muda. Bado hawa watu wako kwa usingizi mzito ambao Kenya iliamka kwa huo usingizi over 20 years ago. Hizi initiatives za kudefend human rights kwa wenzetu zinaitwa ghasia. Kenya mtu akiwa abducted ukimsemelea awachiliwe unaitwa human rights defender, lakini kwa Tanzania unaitwa mchochezi unahatarisha amani. Kwahiyo hizi initiatives za kudai human rights ziishie kwa mipaka ya Kenya, wakienda kwa jirani waheshimu sheria za huko. Ni ngumu kutetea watu ambao hawajakuwa tayari kutetewa. Give them time watajitetea wenyewe" Tom Odege, Mbunge Nyatike.!

Source : Citizen Tv
 
Watajua wenyewe, kikubwa tuishi kwa kutenda mema huku tukipendana sote na kuweka kando matendo maovu kama vile kutekana, kuuana, kubambikiana kesi, kulogana, ufisadi, kuiba n.k
 
Ako na akili Mkenya huu
 
Hapa kawaambia acheni kiherehere kila mtu apambane na hali yake nchini kwake.
 
Watajua wenyewe, kikubwa tuishi kwa kutenda mema huku tukipendana sote na kuweka kando matendo maovu kama vile kutekana, kuuana, kubambikiana kesi, kulogana, ufisadi, kuiba n.k
Kuna wengi wamenyang'anywa hiyo haki ya kuishi.

Nisaidie kunielekeza jinsi Mzee Kibao anavyoishi kwa so called kutenda mema huku tukipendana etc etc...?

Kuna siku utagundua hata madhila yanayomkuta jirani yako ni yako pia.
 
Mkuu, mbunge kasema usiende na id halisi kutetea anayejificha mwache apambane na hali yake...

Kuna ujumbe mkubwa sana hapo.
 
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke yake. Ukivuka mpaka, hayo mambo unaacha hapa Kenya.

Hawa majirani zetu watu wa Tanzania hawajafika hii kiwango ya Kenya. Hapa Kenya unaweza kusema kitu unataka lakini siyo Tanzania. Sisi tunaosafiri mara kwa mara kwenda Tanzania kwa biashara tunaelewa. Tanzania kuna amani lakini ni ya hofu. Mtanzania hata ndugu yake awe arrested illegally hawezi kuongea, ataenda kupost kwa social media. Na huko social media atafungua fake account ili asijulikane ni yeye. Au atapeana story kwa prominent figures wamsaidie kusema lakini kwa masharti wasimtaje kwa jina. That is the level of cowardice walionayo watu wa huko.

Kwa hiyo hawa activists watu wetu kabla hawajaenda huko walitakiwa wawe wanajua hiyo situation. Siasa ya Kenya na siasa ya Tanzania iko tofauti kabisa. Hii demokrasia tunafurahia hapa Kenya mahali watu wanaweza kuexpress vile wanataka, hakuna kwa kwa jirani. Na siyo Tanzania tu hata ukienda Uganda, DRC, Rwanda, Burundi na South Sudan hakuna. So the whole East Africa community, freedom of speech ipo Kenya peke yake.

So kama tunataka mabadiliko ili majirani wawe na freedom of speech kama tuliyonayo, itachukua muda. Bado hawa watu wako kwa usingizi mzito ambao Kenya iliamka kwa huo usingizi over 20 years ago. Hizi initiatives za kudefend human rights kwa wenzetu zinaitwa ghasia. Kenya mtu akiwa abducted ukimsemelea awachiliwe unaitwa human rights defender, lakini kwa Tanzania unaitwa mchochezi unahatarisha amani. Kwahiyo hizi initiatives za kudai human rights ziishie kwa mipaka ya Kenya, wakienda kwa jirani waheshimu sheria za huko. Ni ngumu kutetea watu ambao hawajakuwa tayari kutetewa. Give them time watajitetea wenyewe" Tom Odege, Mbunge Nyatike.!

Source : Citizen Tv
Kwani hao so called activists walisema kitu gani?
 
Mtanzania hata ndugu yake awe arrested illegally hawezi kuongea, ataenda kupost kwa social media. Na huko social media atafungua fake account ili asijulikane ni yeye. Au atapeana story kwa prominent figures wamsaidie kusema lakini kwa masharti wasimtaje kwa jina. That is the level of cowardice walionayo watu wa huko.
Huyu akija Tanzania watamkamata pia
 
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke yake. Ukivuka mpaka, hayo mambo unaacha hapa Kenya.

Hawa majirani zetu watu wa Tanzania hawajafika hii kiwango ya Kenya. Hapa Kenya unaweza kusema kitu unataka lakini siyo Tanzania. Sisi tunaosafiri mara kwa mara kwenda Tanzania kwa biashara tunaelewa. Tanzania kuna amani lakini ni ya hofu. Mtanzania hata ndugu yake awe arrested illegally hawezi kuongea, ataenda kupost kwa social media. Na huko social media atafungua fake account ili asijulikane ni yeye. Au atapeana story kwa prominent figures wamsaidie kusema lakini kwa masharti wasimtaje kwa jina. That is the level of cowardice walionayo watu wa huko.

Kwa hiyo hawa activists watu wetu kabla hawajaenda huko walitakiwa wawe wanajua hiyo situation. Siasa ya Kenya na siasa ya Tanzania iko tofauti kabisa. Hii demokrasia tunafurahia hapa Kenya mahali watu wanaweza kuexpress vile wanataka, hakuna kwa kwa jirani. Na siyo Tanzania tu hata ukienda Uganda, DRC, Rwanda, Burundi na South Sudan hakuna. So the whole East Africa community, freedom of speech ipo Kenya peke yake.

So kama tunataka mabadiliko ili majirani wawe na freedom of speech kama tuliyonayo, itachukua muda. Bado hawa watu wako kwa usingizi mzito ambao Kenya iliamka kwa huo usingizi over 20 years ago. Hizi initiatives za kudefend human rights kwa wenzetu zinaitwa ghasia. Kenya mtu akiwa abducted ukimsemelea awachiliwe unaitwa human rights defender, lakini kwa Tanzania unaitwa mchochezi unahatarisha amani. Kwahiyo hizi initiatives za kudai human rights ziishie kwa mipaka ya Kenya, wakienda kwa jirani waheshimu sheria za huko. Ni ngumu kutetea watu ambao hawajakuwa tayari kutetewa. Give them time watajitetea wenyewe" Tom Odege, Mbunge Nyatike.!

Source : Citizen Tv
Tuishi kwa kutenda mema
 
Jamaa katuchana ukweli mtupu
 
Utaambiwa wewe sio mzalendo usipompinga huyo mbunge kwa sababu tu ni Mkenya ila huo ni ukweli mchungu.
 
Jamaa mmoja anatuponda eti Tanzania ilipo Kenya walikuwa miaka ya 80.
 
Back
Top Bottom