Mbunge wa Nyatike, Kenya: “Freedom of Speech” iko Kenya pekee, ukivuka mipaka mambo yako tofauti

Nature iache kuwalipia kuku, njiwa na ng'ombe tunaowala kila siku leo ije ikalipe uovu wa sasa kwa vizazi ambavyo havijafanya? Malipo ya aina gani hayo? Kwa nature kifo ni kifo.
Yaani huwa naamini mungu hawezi ingilia kati kwa jambo mlilo jipangia wenyewe ni kupambana wenyewe kulitoa
 
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke yake. Ukivuka mpaka, hayo mambo unaacha hapa Kenya.

Hawa majirani zetu watu wa Tanzania hawajafika hii kiwango ya Kenya. Hapa Kenya unaweza kusema kitu unataka lakini siyo Tanzania. Sisi tunaosafiri mara kwa mara kwenda Tanzania kwa biashara tunaelewa. Tanzania kuna amani lakini ni ya hofu. Mtanzania hata ndugu yake awe arrested illegally hawezi kuongea, ataenda kupost kwa social media. Na huko social media atafungua fake account ili asijulikane ni yeye. Au atapeana story kwa prominent figures wamsaidie kusema lakini kwa masharti wasimtaje kwa jina. That is the level of cowardice walionayo watu wa huko.

Kwa hiyo hawa activists watu wetu kabla hawajaenda huko walitakiwa wawe wanajua hiyo situation. Siasa ya Kenya na siasa ya Tanzania iko tofauti kabisa. Hii demokrasia tunafurahia hapa Kenya mahali watu wanaweza kuexpress vile wanataka, hakuna kwa kwa jirani. Na siyo Tanzania tu hata ukienda Uganda, DRC, Rwanda, Burundi na South Sudan hakuna. So the whole East Africa community, freedom of speech ipo Kenya peke yake.

So kama tunataka mabadiliko ili majirani wawe na freedom of speech kama tuliyonayo, itachukua muda. Bado hawa watu wako kwa usingizi mzito ambao Kenya iliamka kwa huo usingizi over 20 years ago. Hizi initiatives za kudefend human rights kwa wenzetu zinaitwa ghasia. Kenya mtu akiwa abducted ukimsemelea awachiliwe unaitwa human rights defender, lakini kwa Tanzania unaitwa mchochezi unahatarisha amani. Kwahiyo hizi initiatives za kudai human rights ziishie kwa mipaka ya Kenya, wakienda kwa jirani waheshimu sheria za huko. Ni ngumu kutetea watu ambao hawajakuwa tayari kutetewa. Give them time watajitetea wenyewe" Tom Odege, Mbunge Nyatike.!

Source : Citizen Tv
Yuko sahihi, hapa Tanzania CCM hawataki kusemwa kwa ujinga walionao ama wanaoufanya......wanataka wakifanya ujinga watu wanyamaze wakiwapigia makofi. CCM ni chama cha mashetani kabisa, ni waoga na hawataki mabadiliko because wanajuwa wakija upinzani watakuwa kwenye matatizo makubwa sana na wananchi maana siri zao zote zitafichuka. Usikute hata mmiliki wa hii Jamiiforum pia ni mshirika mkubwa wa CCM, akitoa siri kuwapa watu wa usalama ili kushughulikia wananchi walio na hasira na Chama cha kishetani.
 
Yap. Hakuna nature. Hivyo vizazi vijavyo watuhumiwa weshajifia siku mingi. Kama kuna haki unanyang'anywa ipiganie.
 
Hizo mamla zinazotenda ushetani wa kupora uhai ambao uliwekwa na Muumba, nazo zinalipwa/zitalipwa sawasawa na matendo yao hata kwa vizazi vyao vijavyo.
Kwa nchi za kiafrika, sioni sababu ya kutawala kwa kumwaga damu za watu hasa Tanzania ambao ni mazezeta. Unaweza kuyatawala bila kuyauwa. Ni kujitakia laana kwa damu zisizo na hatia.
 
Yap. Hakuna nature. Hivyo vizazi vijavyo watuhumiwa weshajifia siku mingi. Kama kuna haki unanyang'anywa ipiganie.
Mungu hahusiki kabisa bila kujipambania wenyewe tutakuwa hivi hivi wachache wananeemeka wengi wanaumizwa
 
Ni hivi Jukwaa la wakenya lina committed members hasa, upande wa Tanzania.

Wakienda wengine, wabongo kama vile wananuna

Vinginevyo kwenda kuwatangwanga mataahira wa ki-Kenya dakika moja tu.

Ni kwamba wana mazoea yao tu kwenye lile jukwaa,

Vinginevyo watuachie mziki tucheze nao, halafu uone sinema.

Tuache kuwakuza hawa mataahira.
 
Wewe umekaribia kuchanganyikiwa na kuwehuka kabisa. Tafuta msaada mapema.
 
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke yake. Ukivuka mpaka, hayo mambo unaacha hapa Kenya.

Hawa majirani zetu watu wa Tanzania hawajafika hii kiwango ya Kenya. Hapa Kenya unaweza kusema kitu unataka lakini siyo Tanzania. Sisi tunaosafiri mara kwa mara kwenda Tanzania kwa biashara tunaelewa. Tanzania kuna amani lakini ni ya hofu. Mtanzania hata ndugu yake awe arrested illegally hawezi kuongea, ataenda kupost kwa social media. Na huko social media atafungua fake account ili asijulikane ni yeye. Au atapeana story kwa prominent figures wamsaidie kusema lakini kwa masharti wasimtaje kwa jina. That is the level of cowardice walionayo watu wa huko.

Kwa hiyo hawa activists watu wetu kabla hawajaenda huko walitakiwa wawe wanajua hiyo situation. Siasa ya Kenya na siasa ya Tanzania iko tofauti kabisa. Hii demokrasia tunafurahia hapa Kenya mahali watu wanaweza kuexpress vile wanataka, hakuna kwa kwa jirani. Na siyo Tanzania tu hata ukienda Uganda, DRC, Rwanda, Burundi na South Sudan hakuna. So the whole East Africa community, freedom of speech ipo Kenya peke yake.

So kama tunataka mabadiliko ili majirani wawe na freedom of speech kama tuliyonayo, itachukua muda. Bado hawa watu wako kwa usingizi mzito ambao Kenya iliamka kwa huo usingizi over 20 years ago. Hizi initiatives za kudefend human rights kwa wenzetu zinaitwa ghasia. Kenya mtu akiwa abducted ukimsemelea awachiliwe unaitwa human rights defender, lakini kwa Tanzania unaitwa mchochezi unahatarisha amani. Kwahiyo hizi initiatives za kudai human rights ziishie kwa mipaka ya Kenya, wakienda kwa jirani waheshimu sheria za huko. Ni ngumu kutetea watu ambao hawajakuwa tayari kutetewa. Give them time watajitetea wenyewe" Tom Odege, Mbunge Nyatike.!

Source : Citizen Tv

"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke yake. Ukivuka mpaka, hayo mambo unaacha hapa Kenya.

Hawa majirani zetu watu wa Tanzania hawajafika hii kiwango ya Kenya. Hapa Kenya unaweza kusema kitu unataka lakini siyo Tanzania. Sisi tunaosafiri mara kwa mara kwenda Tanzania kwa biashara tunaelewa. Tanzania kuna amani lakini ni ya hofu. Mtanzania hata ndugu yake awe arrested illegally hawezi kuongea, ataenda kupost kwa social media. Na huko social media atafungua fake account ili asijulikane ni yeye. Au atapeana story kwa prominent figures wamsaidie kusema lakini kwa masharti wasimtaje kwa jina. That is the level of cowardice walionayo watu wa huko.

Kwa hiyo hawa activists watu wetu kabla hawajaenda huko walitakiwa wawe wanajua hiyo situation. Siasa ya Kenya na siasa ya Tanzania iko tofauti kabisa. Hii demokrasia tunafurahia hapa Kenya mahali watu wanaweza kuexpress vile wanataka, hakuna kwa kwa jirani. Na siyo Tanzania tu hata ukienda Uganda, DRC, Rwanda, Burundi na South Sudan hakuna. So the whole East Africa community, freedom of speech ipo Kenya peke yake.

So kama tunataka mabadiliko ili majirani wawe na freedom of speech kama tuliyonayo, itachukua muda. Bado hawa watu wako kwa usingizi mzito ambao Kenya iliamka kwa huo usingizi over 20 years ago. Hizi initiatives za kudefend human rights kwa wenzetu zinaitwa ghasia. Kenya mtu akiwa abducted ukimsemelea awachiliwe unaitwa human rights defender, lakini kwa Tanzania unaitwa mchochezi unahatarisha amani. Kwahiyo hizi initiatives za kudai human rights ziishie kwa mipaka ya Kenya, wakienda kwa jirani waheshimu sheria za huko. Ni ngumu kutetea watu ambao hawajakuwa tayari kutetewa. Give them time watajitetea wenyewe" Tom Odege, Mbunge Nyatike.!

Source : Citizen Tv
It is true and that is reality
 
Wewe umekarabia kuchanganyikiwa,
Waambie wanijaribu, wamewazoea dhaifu kama nyie. Ambao ni territorial huko hampendi kuona watu wengine wanachangia.

Wakenya wanawaburuza tu kule kwenye lenu na ujinga weny, wengine tunawaachia vita vyenu.

Ni sawa na wewe kusema watu wanachanganyikiwa wakati uwajui.

Kule kwenye jukwaa la wakenya tunawaachia tu kuipigania nchi na majirani japo wengi uelewa wenu ni mdogo.

Wakisha waburuza mataahira wenye uwezo mdogo kama nyie, wanadhani watanzania wote ni sampuli yenu.

Wakati wengine kutwanga hayo mapoyoyo ni dakika moja tu. But then kuna utani wa jadi inabidi tuwaachie.

Yoda, nishakwambia mara kadhaa huna uwezo.

Anyway Zuchu makes sense for now in my life.
 
Yuko sahihi, hapa Tanzania CCM hawataki kusemwa kwa ujinga walionao ama wanaoufanya......wanataka wakifanya ujinga watu wanyamaze wakiwapigia makofi. CCM ni chama cha mashetani kabisa, ni waoga na hawataki mabadiliko because wanajuwa wakija upinzani watakuwa kwenye matatizo makubwa sana na wananchi maana siri zao zote zitafichuka. Usikute hata mmiliki wa hii Jamiiforum pia ni mshirika mkubwa wa CCM, akitoa siri kuwapa watu wa usalama ili kushughulikia wananchi walio na hasira na Chama cha kishetani.
Sio CCM peke yao hata CHADEMA, case study JOHN MREMA.
ATC WAZALENDO case study NASSOR MAZRU baada ya kumsifia Dr HUSSEIN MWINYI Kwa kuing'arisha Zanzibar
 
Kwa nchi za kiafrika, sioni sababu ya kutawala kwa kumwaga damu za watu hasa Tanzania ambao ni mazezeta. Unaweza kuyatawala bila kuyauwa. Ni kujitakia laana kwa damu zisizo na hatia.

Nakubaliana na wewe kabisa, kuwatawala Watanzania huhitaji hata kuumiza wala kumwaga damu, ni akili tu.
 
Watajua wenyewe, kikubwa tuishi kwa kutenda mema huku tukipendana sote na kuweka kando matendo maovu kama vile kutekana, kuuana, kubambikiana kesi, kulogana, ufisadi, kuiba n.k
Uzuri na wao wamekuja wamekinywea kikombe hicho chicho. Mmoja kapigwa hadi miti. Ngoja tuone hiyo freedom of speech wliyonayo kama itasaidia kwenye hili.
 
Back
Top Bottom