Mbunge wa Nyatike, Kenya: “Freedom of Speech” iko Kenya pekee, ukivuka mipaka mambo yako tofauti

Ameshasema kuwa huwa anakuja, ila huwa anayafanya tunayoyataka. Hiyo HAKI ZA BINADAMU anaziacha mpakani!
Namaanisha watamsakama kwa kuzungumzia negatively hali ya freedom of speech
 
Idd Amina of Uganda said it all, "There is freedom of speech. But I cannot guarantee freedom after speech"
 
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke yake. Ukivuka mpaka, hayo mambo unaacha hapa Kenya.

Hawa majirani zetu watu wa Tanzania hawajafika hii kiwango ya Kenya. Hapa Kenya unaweza kusema kitu unataka lakini siyo Tanzania. Sisi tunaosafiri mara kwa mara kwenda Tanzania kwa biashara tunaelewa. Tanzania kuna amani lakini ni ya hofu. Mtanzania hata ndugu yake awe arrested illegally hawezi kuongea, ataenda kupost kwa social media. Na huko social media atafungua fake account ili asijulikane ni yeye. Au atapeana story kwa prominent figures wamsaidie kusema lakini kwa masharti wasimtaje kwa jina. That is the level of cowardice walionayo watu wa huko.

Kwa hiyo hawa activists watu wetu kabla hawajaenda huko walitakiwa wawe wanajua hiyo situation. Siasa ya Kenya na siasa ya Tanzania iko tofauti kabisa. Hii demokrasia tunafurahia hapa Kenya mahali watu wanaweza kuexpress vile wanataka, hakuna kwa kwa jirani. Na siyo Tanzania tu hata ukienda Uganda, DRC, Rwanda, Burundi na South Sudan hakuna. So the whole East Africa community, freedom of speech ipo Kenya peke yake.

So kama tunataka mabadiliko ili majirani wawe na freedom of speech kama tuliyonayo, itachukua muda. Bado hawa watu wako kwa usingizi mzito ambao Kenya iliamka kwa huo usingizi over 20 years ago. Hizi initiatives za kudefend human rights kwa wenzetu zinaitwa ghasia. Kenya mtu akiwa abducted ukimsemelea awachiliwe unaitwa human rights defender, lakini kwa Tanzania unaitwa mchochezi unahatarisha amani. Kwahiyo hizi initiatives za kudai human rights ziishie kwa mipaka ya Kenya, wakienda kwa jirani waheshimu sheria za huko. Ni ngumu kutetea watu ambao hawajakuwa tayari kutetewa. Give them time watajitetea wenyewe" Tom Odege, Mbunge Nyatike.!

Source : Citizen Tv
Aiseee FACT.....
 
Huyu muongo,wanauana ovyo,,juzi tu mbuge ameuliwa,mfanyabiashara Jackson Mwangi kauliwa,na mkewe kajeruhiwa vibaya sana,na kila mara wanauana.Mbona hawawatetei hao wanaoliwa,dada wa kazi wakenya,wananyanyaswa na nakuuliwa nchi za kiarabu,mbona hawawazuii kwenda kufanyakazi nchi za kiarabu na kuwatetea.
 
Utaambiwa wewe sio mzalendo usipompinga huyo mbunge kwa sababu tu ni Mkenya ila huo ni ukweli mchungu.
Huko Kenya wanauana ovyo,juzi mbunge kapigwa risasi kafa,mfanyabiashara Jackson Mwangi kauliwa kwa risasi,,Na mkewe kajeruhiwa vibaya sana,dada wa kazi wa Kenya,wananyanyasika nchi za kiarabu na kuuliwa,mbona hawawatetei au kuzuia wasiende kufanyakazi huko
 
Kwani si tulishakubaliana kuwa hii nchi ni chanel ya cheka tu huko mbinguni! ila jamaa amechana ukweli mpaka aibu naona mimi.
 
Nature iache kuwalipia kuku, njiwa na ng'ombe tunaowala kila siku leo ije ikalipe uovu wa sasa kwa vizazi ambavyo havijafanya? Malipo ya aina gani hayo? Kwa nature kifo ni kifo.
KARMA ipo ndugu. Ingawa sio kigezo Cha kuto jitetea unapo ona haki yako inadhurumiwa, ila anaetenda dhuruma Huwa ata kama ataishi maisha marefu na mazuri machoni pawatu ila moyoni hawezi kua na AMAÑI kwa kula dhuruma. Na hali iyo ki asili huenda mbali ata kwa vizazi vyake. Tutende haki na tusiwe na nia ovu dhidi ya mwingine yoyote.( KARMA IS REAL).
 
Hakuna Karma ya vizazi vya mbele boss. Watendaji weshajifia inakuaje karma?
 
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke yake. Ukivuka mpaka, hayo mambo unaacha hapa Kenya.

Hawa majirani zetu watu wa Tanzania hawajafika hii kiwango ya Kenya. Hapa Kenya unaweza kusema kitu unataka lakini siyo Tanzania. Sisi tunaosafiri mara kwa mara kwenda Tanzania kwa biashara tunaelewa. Tanzania kuna amani lakini ni ya hofu. Mtanzania hata ndugu yake awe arrested illegally hawezi kuongea, ataenda kupost kwa social media. Na huko social media atafungua fake account ili asijulikane ni yeye. Au atapeana story kwa prominent figures wamsaidie kusema lakini kwa masharti wasimtaje kwa jina. That is the level of cowardice walionayo watu wa huko.

Kwa hiyo hawa activists watu wetu kabla hawajaenda huko walitakiwa wawe wanajua hiyo situation. Siasa ya Kenya na siasa ya Tanzania iko tofauti kabisa. Hii demokrasia tunafurahia hapa Kenya mahali watu wanaweza kuexpress vile wanataka, hakuna kwa kwa jirani. Na siyo Tanzania tu hata ukienda Uganda, DRC, Rwanda, Burundi na South Sudan hakuna. So the whole East Africa community, freedom of speech ipo Kenya peke yake.

So kama tunataka mabadiliko ili majirani wawe na freedom of speech kama tuliyonayo, itachukua muda. Bado hawa watu wako kwa usingizi mzito ambao Kenya iliamka kwa huo usingizi over 20 years ago. Hizi initiatives za kudefend human rights kwa wenzetu zinaitwa ghasia. Kenya mtu akiwa abducted ukimsemelea awachiliwe unaitwa human rights defender, lakini kwa Tanzania unaitwa mchochezi unahatarisha amani. Kwahiyo hizi initiatives za kudai human rights ziishie kwa mipaka ya Kenya, wakienda kwa jirani waheshimu sheria za huko. Ni ngumu kutetea watu ambao hawajakuwa tayari kutetewa. Give them time watajitetea wenyewe" Tom Odege, Mbunge Nyatike.!

Source : Citizen Tv
Sawa kabisa mheshimiwa mbunge, Samia anatunyanyasa sana kidemokrasia.
 
Aisee!
 
Back
Top Bottom