Pre GE2025 Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

Pre GE2025 Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbunge wa Simanjiro Olesendeka ashambuliwa Kwa Risasi usiku huu na watu wasiojulikana. Amefutwa na gari Kwa muda na alipofika katikati ya Ng'abolok na Irkiushi, Kibaya, gari iliyokuwa ikimfuatilia ilijifanya kama inataka kupita na ghafla kuanza kumimina risasi kadhaa kuelekea mlango wa dreva.

Olesendeka na Dreva wote wako salama. Kwa Sasa wapo Kituo cha Polisi Kibaya. Taatifa pia imeshatolewa Kwa RPC -Manyara
View: https://x.com/mariastsehai/status/1773779899175584037?s=46&t=vDlGjN3mpXpeCEHCuyoPFg

Ila ole sendeka sitamsamehe na kumhurumia kwasababu badala ya kumkingia kifua mtu wa kwao Lowasa alikubali kutumiwa kumponda na kumdhalilisha Lowasa.
 
Back
Top Bottom