thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,270
- 9,116
Dawa ya jeuri ni kiburi,uwe mpole na Trump wakoKwa hiyo kodi zetu Zinateketezwa kisa kumkomoa Mbowe? Kweli Trump hajakosea
American President - Donald Trump explains his statement against Africans:
"If after 50 years of independence you have not built the necessary infrastructure for your people, are you humans?
"If you sit on gold, diamond, oil, manganese, uranium... and your people don't have food, are you humans?
"If to stay in power, you buy weapons from strangers to kill your own citizens, are you humans?
"If your only social project is to stay in power for life, are you being human?
"If you despise and shoot your own citizens like game, who will respect them?"
https://www.facebook.com/
"if you take all resources meant for development of your country for personal property are you humans?
" if you leave your country healthcare unattended and treat yourself abroad are you humans?
"Until your leaders think less of themselves and more about your people. You are not human but animal.
[emoji1531]Think about this ccm
Nilikuwa nahisi hivyo au tuseme bado nahisi kuna wengine wamepewa kitu lakini nadhani kuna mambo nyuma ya pazia wote CCM na CDM hamtaki kusema hii siyo kawaida. Siasa za Bongo ni za kipekee. Siyo kwa mwendo huu.Biashara inaendele!!
Wahame tu ila wananchi tuko na CHADEMA/upinzani maaana CCM na Magufuli hawana msaada kwetu.
Maisha ya mtanzania sio ndege, flyover, Chato Airport, banadari ya Chato, n.k, bali ni pamoja na bei nzuri ya mazao ya wakulima, ajira, mishahara na masilahi bora kwa watumishi, uhuru wa maoni, mikopo elimu ya juu bila ubaguzi, elimu bora ni si bora elimu, kodi rafiki kwa wafanyabiashara, n.k.
Maisha ya mtanzania ni watoto kutokusoma shule za nyasi na kukaa kwenye vumbi, watanzania kuto-share maji na mifugo,bei za bidhaa kutopanda, watanzania kutopoteza ajira kwasababu biashara zinakufa na makampuni kufungwa au kuyumba, n.k.
Watanzania hatutaki mtu asietaka kukosolewa, anaetuletea sheria za kutuziba midomo mfano sheria ya takwimu, kiongozi asiethamini demokrasia na asieheshimu maamuzi ya wapiga kura.kiongozi anaevunja katiba na sheria za nchi tena wazi wazi.
Watanzania hatuhitaji mtu asie na kauli za staha ambae anaweza kuongeoa lolote na mahali popote.
Waendelee kuwalipia madeni na mikopo kama inavyodaiwa ila wasitake kutuhadaa kisa matumbo yao.
Never ever hatutadanganyika na haya maigizo yenu na huyo mnaemsujudia.
Kibaya zaidi hakuna mnachoahivu, sana sana mnazidi kuiogopa CHADEMA na kuona sanduku la kura kama mtihani uliowashinda katika maisha yenu.
CCM hii ni ndoto kubadili maisha ya watanzania kwani miundombinu pekee sio muarobaini wa unafuu wa maisha ya mtanzania.
Hakuna nchi ilioendelea kwa wabunge au madiwani kujiuzulu na kumuunga mkono Raisi alie madarakani.Hakuna.
Mnatutia aibu watanzania!
Poor you!
sawa heri yako na ole kwa wadanganyikaBado yule mama wa same mashariki maana haonekani jimboni , hakuna alichokifanya ,ccm mbele kwa mbele
Utanyooka tu wewe utabaki mwenyewe na Mbowe nasikia Lowassa na Sumaye wanamalizia kazi warudi nyumbani...!!Biashara inaendele!!
Wahame tu ila wananchi tuko na CHADEMA/upinzani maaana CCM na Magufuli hawana msaada kwetu.
Maisha ya mtanzania sio ndege, flyover, Chato Airport, banadari ya Chato, n.k, bali ni pamoja na bei nzuri ya mazao ya wakulima, ajira, mishahara na masilahi bora kwa watumishi, uhuru wa maoni, mikopo elimu ya juu bila ubaguzi, elimu bora ni si bora elimu, kodi rafiki kwa wafanyabiashara, n.k.
Maisha ya mtanzania ni watoto kutokusoma shule za nyasi na kukaa kwenye vumbi, watanzania kuto-share maji na mifugo,bei za bidhaa kutopanda, watanzania kutopoteza ajira kwasababu biashara zinakufa na makampuni kufungwa au kuyumba, n.k.
Watanzania hatutaki mtu asietaka kukosolewa, anaetuletea sheria za kutuziba midomo mfano sheria ya takwimu, kiongozi asiethamini demokrasia na asieheshimu maamuzi ya wapiga kura.kiongozi anaevunja katiba na sheria za nchi tena wazi wazi.
Watanzania hatuhitaji mtu asie na kauli za staha ambae anaweza kuongeoa lolote na mahali popote.
Waendelee kuwalipia madeni na mikopo kama inavyodaiwa ila wasitake kutuhadaa kisa matumbo yao.
Never ever hatutadanganyika na haya maigizo yenu na huyo mnaemsujudia.
Kibaya zaidi hakuna mnachoahivu, sana sana mnazidi kuiogopa CHADEMA na kuona sanduku la kura kama mtihani uliowashinda katika maisha yenu.
CCM hii ni ndoto kubadili maisha ya watanzania kwani miundombinu pekee sio muarobaini wa unafuu wa maisha ya mtanzania.
Hakuna nchi ilioendelea kwa wabunge au madiwani kujiuzulu na kumuunga mkono Raisi alie madarakani.Hakuna.
Mnatutia aibu watanzania!
Poor you!
Ni kweli mkuu, acha niwe kondoo .Nyie endeleeni na hiyo project ya kukaa madarakani milele huku hospitalini kukiwa hakuna dawa na foleni dar ikiwa ndo maendeleoDawa ya jeuri ni kiburi,uwe mpole na Trump wako
Hatari sana hii ccm mbele kwa mbeleJames Ole Millya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya chadema amejiuzulu ubunge na kukihama Chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 889617View attachment 889618
Mnamo Agosti 4, mdau wa JF alidokeza kuwa Millya alikuwa na mpango wa kujiuzulu ubunge. Soma > Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa - JamiiForums
Utanyooka wewe na hilo genge lenu na kamwe sio sisi wengine.Utanyooka tu wewe utabaki mwenyewe na Mbowe nasikia Lowassa na Sumaye wanamalizia kazi warudi nyumbani...!!
Kiongizi wa kuchaguliwa akikubali kununuliwa kwa pesa na siyo kwa kura, ni wazi akipewa madaraka makubwa atanunuliwa tena. Moja kwa moja kiongozi wa aina hiyo nikinachonitisha wote lazima walitaje jina la jiwe
someni historia ya madikteta wote wanapenda na wengine wanalazimisha kutukuzwa majina yao
Mnunua malaya naye malaya tu!Unatumia kodi za wanachi kununua malaya!Nawe ni malayaBakini na makengeza wenu,tunachafua
Umebaki wewe!Ilikuwa inajulikana lilikuwa ni swala la muda tuu
Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa - JamiiForums
mimi naombea iwe hivyo,in fact ndivyo itakavyokuwa hata kwa mtutu
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu, na ni mfu anayemtegemea mwanasiasa hata kuwaza kwake!Kudadadeki...at nini? Maweeeeeeee.....Kesho narudi Ccm kama waliotuleta huku wanaondoka sisi tunabaki kufanya nini? Juzi nimeongea hii issue na Nasari akasema ni propaganda
Nani awakabidhi nchi ikiwa hata ofisi ya makao makuu inawashinda ,chama kikuu cha upinzani kimepangishwa kwenye pagala la mwenyekiti wenu toka kimeanzishwa,mikoani kimepangishwa kwenye nyumba za wachaga,hii ni topeNi kweli mkuu, acha niwe kondoo .Nyie endeleeni na hiyo project ya kukaa madarakani milele huku hospitalini kukiwa hakuna dawa na foleni dar ikiwa ndo maendeleo
Utabaki pekee yako na Mbowe!Utanyooka wewe na hilo genge lenu na kamwe sio sisi wengine.