chama kinahusika vipi sasa hapo?Kiongizi wa kuchaguliwa akikubali kununuliwa kwa pesa na siyo kwa kura, ni wazi akipewa madaraka makubwa atanunuliwa tena. Moja kwa moja kiongozi wa aina hiyo ni
Fisadi Papa , na chama chake cha siasa akifai kuaminiwa
Hivi wakati Nyerere anakabidhiwa nchi na mwingireza, ofisi za Tanu zilikuwa wapi mkuu?Nani awakabidhi nchi ikiwa hata ofisi ya makao makuu inawashinda ,chama kikuu cha upinzani kimepangishwa kwenye pagala la mwenyekiti wenu toka kimeanzishwa,mikoani kimepangishwa kwenye nyumba za wachaga,hii ni tope
Google mkuuHivi wakati Nyerere anakabidhiwa nchi na mwingireza, ofisi za Tanu zilikuwa wapi mkuu?
Unajipa matumaini ambayo hayapo.Utabaki pekee yako na Mbowe!
Mlivokua mnamteua kugombea 2015 hamkujua kua hafai? Au kwakua amehamia upande wa pili? Kubalini tu kuwa ndani ya CDM kunatatizo mkijifanya vichwa ngumu watakwisha wote na mtakua kama NCCR mageuzi. Hapa namuona zito kabwe na ACT akiibuka huko mbereni.Ni haki yake kuhamia anapotaka. Anasema aliacha siasa za majukwaani kwa miaka hii mitatu (alikimbia majukumu ya kuwawakilisha wananchi). Ni vyema amejiuzulu kwa kuwa ni wazi kuwa tangu awali alikimbilia Chadema kutafuta fursa na siyo kuwatumikia wananchi.
Amechelewa sana kuelewa kuwa huku Chadema ni kugumu mno na waliopo ni wale waliojitoa kuifanya kazi ngumu (ya kuweka misingi mipya) ambayo yeye hana huo utayari.
Badala ya kumlaumu nadhani ni vyema kumpongeza kwa kujitambua kuwa aliwapotezea wananchi fursa za kupata maendeleo waliyoyatamani tangu mwanzo. Aombe tu msamaha kwa kuwapotezea wananchi waliompa dhamana muda wa miaka mitatu.
nisaidie mkuu tafadhariGoogle mkuu
kumbuka zaidi ya 80‰ ya watanzania ni maskini au wanyonge Kwa lugha ya awamu ya tanoNimegundua.ukiwawaza sana wanasiasa wana weza kukuumiza akili.kikubwa tafuta ugali wa watoto wako.
[Hahahahahaha..... nakuonea huruma mkuu]Unajipa matumaini ambayo hayapo.
Tunajua kuna mtu ameapa kuangamiza upinzani ila ajue atashindwa tu katika hizi hujuma zake.
uhakika wa ubunge anao ata asipochaguliwa na wanainchi upo rushwa kapewa. anashida gani??
kwa akili hizi Tanzania kuendelea itachukua muda mrefu sana.
Hao wamekataliwa walimtukana JK hawana adabu!Bado mnyika na Kubenea
Unajipa matumaini ambayo hayapo.
Tunajua kuna mtu ameapa kuangamiza upinzani ila ajue atashindwa tu katika hizi hujuma zake.