Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.

=======
Wala sitashangaa kuona hili likijiri.
 
Uliwahi musikia mwenyekiti wa ccm mpambana na rushwa mwanzisha mahakama za kifisadi akizungumzia 1.5 trilion? Ujue alizipiga sasa ndo anazitumia
Kwani uliwah msikia Zito akihoji 1.5 bungeni?
 
Sofia simmba na Madabida nao warudishiwe uwanachama wa CCM. Kuwafukuza hakukuwa na mashiko ilihali wasaliti wenzao wananunuliwa.
 
Hii biashara haiwasaidi lakini kwa aibu hawawezi kuiacha maana watachekwa (wataulizwa imeleta tija gani) hivyo watajitutumua tu kuendelea nayo kuliko ku-surrender.

Eti hawa ndio watu wa kuipeleka Tanzania kufikia katika uchumi wa kati!!

Wabongo mtasubiri sana!!

utaishia kupost tu, kulaumu, kukejeli...mpaka unakufa

una uthibitisho?
 
Kwani uliwah msikia Zito akihoji 1.5 bungeni?
Ingia youtube umuone zitto akitema madini kuhusu wezi wa 1.5 pia hao wabunge wanaokuja huko kwenu waliwahi kuhoji bungeni ilipo rizuku ya chadema?
 
Ingia youtube umuone zitto akitema madini kuhusu wezi wa 1.5 pia hao wabunge wanaokuja huko kwenu waliwahi kuhoji bungeni ilipo rizuku ya chadema?
Ilete hapa hiyo link au clip zito akihoji 1.5 bungeni
 
Ilete hapa hiyo link au clip zito akihoji 1.5 bungeni
Ukiwa mshabiki wa ccm unakuwa msukule msikilize hapo nafikir sasa kama umeomba ushahid wa zitto utakuwa unajua zimeibiwa

Ukiwa mshabiki wa ccm unakuwa msukule msikilize hapo nafikir sasa kama umeomba ushahid wa zitto utakuwa unajua zimeibiwa

Amekuambia zimeibiwa?Vipi alisema nini baada ya majibu ya serikali?
 
Amekuambia zimeibiwa?Vipi alisema nini baada ya majibu ya serikali?
Naona bit imebadilika sasa dawa ishakuingia hata wezi wa ecsrow serikali iliwatetea usiwe na kiherehere cha kuomba ushahid kipind hiki science ipo juu matokeo yake ndo hayo utaanza kutafuta kichaka ulisema akihoji bungeni nimekupa unaniuliza majibu ya serikali wewe zimo kweli?
 
Hii biashara haiwasaidi lakini kwa aibu hawawezi kuiacha maana watachekwa (wataulizwa imeleta tija gani) hivyo watajitutumua tu kuendelea nayo kuliko ku-surrender.

Eti hawa ndio watu wa kuipeleka Tanzania kufikia katika uchumi wa kati!!

Wabongo mtasubiri sana!!

Sipati picha kama wabunge wa Ccm ndio wangekuwa wanahamia chadema.Mngesema Ccm imechokwa ila kwa chadema kwenda Ccm inakuwa Aibu kwa Ccm, viumbe wa ajabu sana nyie.
 
Separation of grain from chaff which is very good and healthy to the growth of the vibrant and strong political party.

We know this is deliberately done to mask the failure of the government to deliver on its pre election pledges also to distract the attention of the people away from economic difficulties it has created to them.

Whatever the stratagem they will employ, we, the people, will remain resolute in our determination to get rid of this blood thirsty regime which is responsible for the murder and disappearance of our beloved compatriots.

The brutal regime that has totally failed to manage our battered and ill-fated economy to the extent that many businesses and commercial banks are now closing and investors running away. It's a total disaster, to say the least.
 
Naona bit imebadilika sasa dawa ishakuingia hata wezi wa ecsrow serikali iliwatetea usiwe na kiherehere cha kuomba ushahid kipind hiki science ipo juu matokeo yake ndo hayo utaanza kutafuta kichaka ulisema akihoji bungeni nimekupa unaniuliza majibu ya serikali wewe zimo kweli?
Mkuu sioni alipohoji kuwa hizo 1.5 ziko wapi zaid ya kuhoji hela za mirad serikali itatoa wapi.Na ukifuatilia jins ya hilo nje ya binge ni tofaut kabisa na ndan ya bunge.Huku nje anakuambia zimeibiwa,lkn huko ndan anakuambia matumiz yake hayaeleweki na huko ndan anaongea kama CAG alivyojibu akihojiwa na Azam TV kuwa anajua zimetumika ktk matumiz ya serikali lkn hajui ni matumiz gani.

Lkn kwa akili ya darasa la pili tu,Kama kuna vitu visivyofanyika nje ya bajeti na tayar kuna hela haionekan imetumika wapi,kwanini usiseme hiyo hela ndo imetumika huko?Kuna mambo mengi yamefanyika nje ya bajeti,je jpm alikua anatoa hela zake mfukoni?Hoja kuu ya zito nje ya bunge ni zimeibiwa, lkn anashindwa kuwaeleza wafuas wake ni wapi serikali ilikua inatoa hela za ujenz wa chato,ndege nk?Na ukiangalia hivi vitu kwenye ripoti ya cag havipo
 
Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.

=======
Umejuaje? Kakwambia au ndio wewe mwenyewe unapima upepo?
 
NIMEMUAMIN MANGE KWAMBA KUNA BIFU LA MBOWE NA LOWASA MPANGO MZIMA ANAUJUA MTAALAMU WA PROPAGANDA LOWASA ,MBOWE ULIKOSEA KUMNUNUA HUYU MTU MAANA KESHAWASOMA CHADEMA WOOOTE LOWASA ALIWEZA KUIKOKOTA CCM KIDOGO IFE KWA CHADEMA NI KAZI NDOGO TUU,
 
Baada ya kuhamia CCM utasikia majibu ya upande wa pili kuwa 'hata hivyo tulikuwa mbioni kumsimamisha na kumfukuza kabisa uanachama kwa tuhuma kadha wa kadha'.
Hata kwa nyalandu tulisikia hayohayo
 
Back
Top Bottom