TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Vifaa vya kujifukizia! Hakuna ushahidi wa kisayansi unaoonyesha kuwa kujifukizia kunatibu Corona.Ushahidi wa kisayansi uliopo unaonyesha kujifukizia kunaua mapafu.Taifa lisipowekeza kwenye tafiti, sayansi na technologia haliwezi kuwa hai.
 
Bwana aifariji familia, bunge na wananchi wake na wote walioguswa na kifo cha kiongozi huyo, bado kuna tumaini kwa wale wanaolala upande wa Bwana hawa wanakuwa wamelala tu Kristo atakaporudi atawaamsha tuonane nao tena,

Hivyo sisi tulio hai tujikabidhi kila wakati mikononi mwa Bwana ili hata mshale wa mauti utakapofika ulale ktk Bwana, Ee Bwana tusaidie kuzihesabu siku zetu tupate hekima.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom