Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wote walikuwa wakijifukiza
Wasukuma tuna tia aibu sana nahisi ndo kanda inayoongoza kwa kua na wabunge wengi waarabu,wahindi sijui why hatuwaamini watoto wetuNi wa Sumve sio Kwimba. Kwimba mbunge wao ni muhindi anaitwa Masoor
Nakumbuka wakati corona inaingia Tanzania polepole alisema corona ni hatari kama walivyo wapinzani, kumbe alikuwa anajua hatari iliyo mbele yao na labda alijua imekuja kuwachukuaHii Corona imefanya Wapinzani wapumzike na usumbufu wa Police na kejeli za akina Polepole
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hawa hawa watu wazito ndiyo wanataka kuruhusu herd immunity ili Corona iwamalize vizuri!
Inashangaza Sana ....Nchi hii lipo tatizo kubwa sana la akili hasa katika nyanja ya uongozi, unaogopa ugonjwa au kuonea aibu ugonjwa
au ameanguka hotelini akapelekwa bungeniSjaelewa kwa hio ameanguka bungeni akapelekwa hotelini?
Mkuu Ndasa ni msukuma kabisa... Mbona uskumani warabu wasukuma kibao tu...Wasukuma tuna tia aibu sana nahisi ndo kanda inayoongoza kwa kua na wabunge wengi waarabu,wahindi sijui why hatuwaamini watoto wetu
Kweli,Kaka Ndassa nikipenda kumuita Tajiri,alikuwa anapenda sana Mbuzi choma.Ndassa ana undugu na mamangu basi kule kwa bibi akienda ilikua zinaangushwa mbuzi na bia za kutosha vibaya sana .dah rip !leo ni vilio tu
Asa itakuaje🤔Nasikia tetesi na Waganga wa jadi nao wameanza kupukutika