TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

Status
Not open for further replies.
Zimedhibitiwa tayari haitakiwi ijulikane na kisingizio ni kuzuia hofu kuenea kwa watu, hivyo saa ni kimya kimya.
 
Inasikitisha sana hata hawa tunaoamini ni wasomi waelimishe wakina sisi bado wanafanya makosa.
Kweli kabisa unajua hatuko salama kwa hali ilipofikia kila mtu ailinde familia yake na wale anaowapenda,,

Tuchukueni tu tahadhari aisee na kukaa nyumbani ikibidi na kwa msaada wa mungu hii vita tutaishinda!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIO CORONA KILA KIFO
1 STRESS
2 NGOMA
3 PRESSURE
4KISUKARI
5.MAWAZO
6.MAPENZI
7.MADENI
Kuna mbumbumbu walikuwa wanasema Corona haitafua dafu kwa ngozi nyeusi sasa hivi wako kimya! Kuna mbumbumbu wapya wameibuka wanadai kuwa siyo kila kifo ni Corona nao pia watakaa kimya!
 
Tanzia: mwana JF mwenzetu @mpenziwakale ametuacha. R. I. P ndugu yetu tutakumiss sana kwa thread zako mbovu. Zile tanzia wanakufa watu ujue sasa wewe unageuza mchezo si Ndio? Kufa wewe tubandike tanzia mpuuzi mmoja wewe.
 
Samahani lakini ukweli ni kwamba unastahili kuitwa zezeta. Mambo ya U-ccm yanahusiana vipi na vifo???
Kama huwezi kuomboleza ni bora kupotezea tu.
Ccm ndio yenye dhamana imeboronga kila mahali sasa inaboronga kwenye mfumo wa afya na mungu anawaumbua naona Kuna mtu ananyatiwa na covid kigogo lazima abrekishe ndani ya wiki hii mpaka ijumaa.
 
Back
Top Bottom