Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Haijaletwa hii kweli?Richard Ndasa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijaletwa hii kweli?Richard Ndasa..
8. MATATIZO YA KUPUMUASIO CORONA KILA KIFO
1 STRESS
2 NGOMA
3 PRESSURE
4KISUKARI
5.MAWAZO
6.MAPENZI
7.MADENI
Pole gashi wa mkayaNdassa ana undugu na mamangu basi kule kwa bibi akienda ilikua zinaangushwa mbuzi na bia za kutosha vibaya sana .dah rip !leo ni vilio tu
Abood wa wapiWasukuma tuna tia aibu sana nahisi ndo kanda inayoongoza kwa kua na wabunge wengi waarabu,wahindi sijui why hatuwaamini watoto wetu
We kweli ni Msungwite, sura na jina lako vinaakisi ulivokuwa mshamba na mjinga wa akili fupi.....Tanzia: mwana JF mwenzetu @mpenziwakale ametuacha. R. I. P ndugu yetu tutakumiss sana kwa thread zako mbovu. Zile tanzia wanakufa watu ujue sasa wewe unageuza mchezo si Ndio? Kufa wewe tubandike tanzia mpuuzi mmoja wewe.
Pole gashi wa mkaya
Mkuu usiwamshe waliolalaHalafu hawa hawa watu wazito ndiyo wanataka kuruhusu herd immunity ili Corona iwamalize vizuri!
Khulwake ilumbuye?
Wazinza wenyewe wanasema hivyoKwa hiyo Nyamboge wanakaa wanyarwanda? Acha uhuni.
Sio tu kukimbia bunge,Kuna uwezekano wasirudi,ngoma ya Corona ni nzito.adi kufika june mwaka huu waheshimiwa wengi watakuwa wameisha likimbia bunge…………...